Dr. Sezibera : kuna nini Kimempata

busar

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,070
Napitia pitia habari naona Waziri wa Mambo ya Nje was Rwanda kala sumu na anaweza kufa muda wowote
 
Napitia pitia habari naona Waziri wa Mambo ya Nje was Rwanda kala sumu na anaweza kufa muda wowote
We ndio unatunywesha sumu ya Taarifa ambayo huna uhakika nayo, Sema kama hiyo taarifa hukutoa kwenye habari za Uganda? Kalete chanzo kingine tofauti na Uganda.
 
Kusema museven mwamba wa Africa masharik au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…