Dr. Rioba TBC Imemshinda au Kaishindwa?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,334
72,799
Anaandika Julius Mtatiro;
Hii ni TBC ya Dk. Rioba? Inarusha HOAX, FAKE NEWS! PROPAGANDA zisizokuwepo! Taifa letu ni sehemu ya kufanyia majaribio ya kila kitu, hata ukitaka kupima uwezo wa akili za watu duniani, Tanzania inaweza kutoa sampuli zitakazopimika zaidi!

My take;
TBC imeaibisha taifa kwa kumsingizia uongo Raid Trump na kumuhusisha Rais Magufuli na uongo huo.
Hili lingefanywa na chombo kingine Nape anganyamaza?
 
Yure mupe Yure muruke...kunya anye kuku...akinya bata kaharisha
 
Sijawahi kuona TBC mbovu kama hii ya Ayubu Ryoba. TBC zote zilikuwa mbovu, lakini hii ya Ayubu Ryoba ni mbovu kupita maelezo yote.

Yaani, hata Gazeti la Uhuru na Radio uhuru vina afadhali kuliko hii TBC ya sasa.

Ayubu Ryoba nimemdharau sana, jamaa ni ovyo ovyo ovyo hadi anatia kinyaa. Ameiharibu kabisa TBC, kwa sasa TBC ni chombo cha kutangaza Umbeya, Uongo, Udaku, uzushi, upoyoyo, ufuska nk.
 
wenzetu wanatushangaa tunajisifu kwamambo yakijinga...badala tupambane na njaa,umaskini,elimu duni,rushwa na maradhi tunang'ang'aniza sifa za kijinga!!
rioba Ni Kanda ya ziwa kama bashite?? Nauliza tuu!!
 
Rioba amedissapoint aisee. Alivyoteuliwa I had high hopes in him. Yaani TBC imekuwa takataka kuliko maelezo. Duh.....kweli Kama Hawa ndo wasomi wetu basi tuna safari ndefu sana.
 
Huwa mnajifanya mnaangalia ITV ....nini kimewaleta huku TBC????? Huyo rioba hamtamuweza kama sospeter muongo mlimuandama na vyombo vyenu vya habari lakini wapi...watu wa mkoa wa Mara sio wa mchezo mchezo...one man show!!!!!?
 
Na ndo maana wengi wapo jeshini....wanajiamini sana na ni wachapa kazi kweli kweli!!!!!
 
Na ndio mkoa pekee uliotoa rais wa kwanza wa nchi hii...mikoa mingine yote walikuwa na tongo tongo tu....!!!?
 
Anaandika Julius Mtatiro;
Hii ni TBC ya Dk. Rioba? Inarusha HOAX, FAKE NEWS! PROPAGANDA zisizokuwepo! Taifa letu ni sehemu ya kufanyia majaribio ya kila kitu, hata ukitaka kupima uwezo wa akili za watu duniani, Tanzania inaweza kutoa sampuli zitakazopimika zaidi!

My take;
TBC imeaibisha taifa kwa kumsingizia uongo Raid Trump na kumuhusisha Rais Magufuli na uongo huo.
Hili lingefanywa na chombo kingine Nape anganyamaza?
Njaa baba njaa Ryoba, afanye mnayoyataka atakula kwenu? Watotot wake wakose kwenda chooni? Acheni zenu hizo
 
Back
Top Bottom