stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Kwahiyo Mods lengo lenu ilikuwa Dr.Dau aonekane mdini au tatizo ni nn? Kulikuwa kuna haja gani wa kuurudisha huu Uzi ikiwa kuna data mmezitoa? Ni heri mngeondoa kama mwanzo kabisa usiwepo. Inawezekana na nyie Mlawa mnalea haya mambo ya UDINI ambao sisi tunaupinga.
wajinga sana hawa na watashika adabu zao..mods hata ukifuta comments zetu zenye ushahidi haikusaidii..umetumwa na kanisa umfchafue dau?kwenye ukweli uongo hujitenga na imedhihiri..hamna maana nyinyi JF hamna tofauti na ile blog ya ze utamu ya kijinga tofauti yenu they were in photo wise defamation and you use written defamation way...shame on you jamii forum
Kwahiyo Mods lengo lenu ilikuwa Dr.Dau aonekane mdini au tatizo ni nn? Kulikuwa kuna haja gani wa kuurudisha huu Uzi ikiwa kuna data mmezitoa? Ni heri mngeondoa kama mwanzo kabisa usiwepo. Inawezekana na nyie Mlawa mnalea haya mambo ya UDINI ambao sisi tunaupinga.
[h=3]CRDB YAKOPESHA UJENZI WA KITEGA UCHUMI CHA KANISA[/h]
Turudi kwa huyu bwana Dau, Jamaa kazi anaijua na anajua nafasi yake kwenye jamii. haijapata kutokea kuwakopesha waislam kujenga msikiti.
CONSOLIDATED HOLDING CORPORATION
Mr. Dome Malosha Ag, Director General Mkristo
Mr. Methusela Mbajo Director of Finance Mkristo
Mrs. Elizabeth Mamba Corporation Secretary Mkristo
Mr. Albert Semingondo Director of Litigation Mkristo
Mrs Clara Kanza Ag, Director of Loan Mkristo
Mr. Nyaisa Makori Ag, Director of Divestiture Mkristo
::CHC Homepage::
Jamaa Mdini sana, Kama sio Mwislamu huna chako. NSSF imekuwa kama Masjid.
wakuu kabla cja google,hivi brazil kuna mji unaitwa natal?