figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,162 Reaction score 64,502 Mar 28, 2011 #1 baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf.
baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,567 Reaction score 112,222 Mar 28, 2011 #2 figganigga said: baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf. Click to expand... Labda ndugu ungetujulisha tafsiri mpya ya neno bure. hapa hakuna wapumbavu, ndio nimepata picha sasa kwa nini babu wa loliondo anapigwa vita, kumbe anawauwa watu na njaa!
figganigga said: baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf. Click to expand... Labda ndugu ungetujulisha tafsiri mpya ya neno bure. hapa hakuna wapumbavu, ndio nimepata picha sasa kwa nini babu wa loliondo anapigwa vita, kumbe anawauwa watu na njaa!
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,420 Reaction score 4,034 Mar 28, 2011 #3 ilishatoka hii humuhumu jf ci siku nyingi zimepita
Mental Retard Member Joined Mar 9, 2008 Posts 36 Reaction score 12 Mar 28, 2011 #4 figganigga said: baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf. Click to expand... Anayezungumzwa hapa ni ndodi yule tunayemfahamu wote au kuna mwingine jamani! Kama ndiye yeye yule... mi mgeni :target::target:
figganigga said: baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf. Click to expand... Anayezungumzwa hapa ni ndodi yule tunayemfahamu wote au kuna mwingine jamani! Kama ndiye yeye yule... mi mgeni :target::target:
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Mar 28, 2011 #5 figganigga said: baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf. Click to expand... Kiswahili ni lugha yako ya taifa, hiyo niliyo kuwekea rangi nyekundu hapo juu ni bure sio "bule".
figganigga said: baada ya kupata mfadhili eat sasa hivi anatoa huduma bule,unatoa kiingilio kidogo tu.so changamkia offer wana jf. Click to expand... Kiswahili ni lugha yako ya taifa, hiyo niliyo kuwekea rangi nyekundu hapo juu ni bure sio "bule".