Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Status
Not open for further replies.

well done
 
What i can say waislamu nao ni sehemu ya watanzania maana angekuwa mmarekani kafanyiwa hivi merikebu zingekuwa baharini zinasubiri uvamizi. Kwa hili la ndalichako kama wanalazimisha elimu iwe wanavyotaka tuadhirika siku za mbele habari ya maarifa ya mtu sio kitu cha kuigiza kama tunahitaji ukweli.
 
Hivi hawa waislmu mbona wasumbufu hivyo? Wao si wapo 20% sasa wanaonewa kivipi wakati hata vitu vya maana km sensa wao wanaleta soga zao?
 

mi namshauri ndalichako aachie ngazi, halafu ateuliwe mwislam. najua watakuja na jipya kuwa wasahihishaji ni wakristo. kazi tunayo
 
Hivi hawa waislmu mbona wasumbufu hivyo? Wao si wapo 20% sasa wanaonewa kivipi wakati hata vitu vya maana km sensa wao wanaleta soga zao?

Elimi ahra hiyo at play! Tehe tehe tehe
 
Ndalichako hawez kuondoka kienyeji hivyo.nyie kama mna hamu na marungu jaribun2 muone!
 
Walitumia kimya cha LAWAMA kwa Polisi kuua huko Nyololo wakajua hapa tukipenya hatutapigwa kwa sababu bado Polisi wana hofu ya kulaumiwa. ingekuwa siyo yaliyomo mezani wangeipata jana. Nadhani wangepanga foleni palepale kuhesabiwa.
 

Mkuu nakubaliana na mchango n we share the same concern.Nilichokuwa nataka kushare ni kwamba Dini inaambata na Imani na hapa ndiyo watu huwa wanatofautiana mnaweza kuwa dini mmoja lakini imani tofauti hii inatokana na jinsi unavyoelewa na kutafsiri maandiko matakatifu.sasa kwenye haya yanayohusu uchumi ambao unamilikiwa na watu wenye dini na imani tofauti katika kuujengea vigezo na sifa sisiwe imani wala dini.am stand to be corrected.
 
Hivi hawa Waislamu zaidi ya Kusengenya Viongozi hawana kingine cha kuhubiri huko Misikitini? oh mara huyu katufelisha, mara mfumo kristo, mara sensa, mara kafir. Ukisikia mawaidha yao utashangaa jinsi wasivyokuwa na cha kufundishana zaidi ya chuki, mara wanaonewa na mengineyo. Ninaishi karibu na Msikiti yaani yanayohubiriwa huko huwezi amini ni kusanyiko la Waumini wa Mwenyezi Mungu.Jazba JAZBA,
 
Ndalichako hawez kuondoka kienyeji hivyo.nyie kama mna hamu na marungu jaribun2 muone!

Mkuu hilo la marungu uwezi kuona kuwa inaweza leta maafa kama yale ya mwembechai?Imani ikishaingia kwenye siasa na utawala ni mbaya sana
 

Hilo neno mkuu, badala ya kuangalia maendeleo binafsi kiuchumi, fitna tu, Angalia Syria HAKUNA so called kafir, Lakini fitna at play wanauana wenyewe KWA wenyewe !!! Kazi kweli kweli eh mja waukweli, tufunue akili zetu
 
Walisema ni lazma kuhesabiwa kwa mujibu wa sheria na atakayekataa kuhesabiwa atashtakiwa, jana sheria hiyo imevunjwa na wanaona poa tu, wanajipanga kwa ajili ya Ndalichako, wataandamana na Serikali itaona poa tu.. Itafika watataka Ikulu wabadilishe liwe eneo la msikiti, hapo ndo serikali itaamka na itakuta imeshachelewa.."moja na moja zinatengeneza mbili".
 

Nini kifanyike mkuu
 

ni hii ni hata ktk nchoi za kiislamu bado ni kulalamika tu ni watu ambao hawajiamini hata kidogo. Ila pia sijajua sana quran inafundisha nini kwani naona kila mwislamu ana misimamo ya kupinga karibia kila kitu. Ni rahisi tu kwa muialamu kujenga chuki kwa mkristo mpaka kuchoma makanisa km inavyotokea zanzibar mara kwa mara au nigeria na kwingineko
 

Mkuu, hata uislamu haulazimishi watu wote wawe na imani moja. Nnachokizungumza hapa ni kuwa kila unachokifanya kiwe ktk uchumi, siasa, afya hata michezo na burudani ndo mfumo au dini unayoifuata.
Si kwamba hiyo mifumo yote inapingana na uislamu, I can tell you zipo theories nyingi tu zinazoendana na uislam.
Uislam umeeleza nini cha kufanya ktk mifumo ambayo imeshiba fikra za kibinadam. Tumo humuhumu isipokuwa tunafanyaje kurekebisha hilo...!? Ndo hapo chacha, wengine wanadhani maandamano ndo solution, wengine migomo isiyo na tija, wengine vita. Bt ipo njia sahihi ya kufanya ambayo itapotumiwa ipasavyo kila mmoja ataridhia.
 
Naunga mkono:Ndalichako alifanya kosa kubwa sana kwa kutumia formula ya zamani wakati wa mitihani mitau.Nikweli aliwafelisha.Mimi linapokuja suala la utendaji sina udini.Kama mtukaboronga kwanini bado yopo hapo NECTA?.Nadhani aachie ngazi mwenyewe.Ukweli ni ukweli tuu.Ndalichako alikosea.
 
mkuu baada ya hii na kumuondoa dr ndalichako tutaandamana tena kudai serikali igharamie mahakama za kadhi tumalizie na kumuondoa pinda ili safu yetu ikamilike

nadhani akipndoka pinda mfumo kristo utakuwa umeendoka kwani kwa safu ya sana ya uongozi wa juu waislamu ni 98% na wakristo ni 2%.......
 
kwa hiyo polisi wakiua waislamu kwako its ok du
 

Kwa serekali...dhaifu, inayokubali kila pressure sio ajabu watu wakiandamana kwenda NECTA...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…