Tena huyu ndalichako tunausongo nae lazima atueleze kuna siri gani hapo.
mtu kuwa muislam sio tatizo, hoja ni je anaufanyia vp kazi uislam wake?
Wapo waislam jina wengi ambao dunia kwao ni bora kuliko akhera, hao hawana manufaa na uislam na wakotayari kuiuza dini yao kwaajili ya dunia.
Vivyohivyo wapo watu wakristo wengi wasiofuata maandiko ya biblia, hayo ni mambo yapo na yanajulikana ulimwenguni kote.
Muislam wa kweli akhera ni bora kwake kuliko dunia, hadhulumu, haibi, hapendelei, ni muadilifu kwa matendo yake na imani yake kwani ndivyo uislam unavyofundisha.
Kaka mawazo yako ni hayo basi ngoja tujipange ila hatutotaka cdm iwe cuf bali maandamano tutayaelekeza kwa tendwa kuwa cdm ifutwe ni chama cha kanisa. Hapo unasemaje. Na ivi tendwa ameshazungumzia ndio atapata nguvu na hapo hapo kitafutwa. Ngoja tuorganize. Mtajuta kutoa wazo. Tutaungana na tendwa kuhakikisha uchaguzi ujao hakipo.wakimaliza hapo wataandamana kudai chadema iwe kafu, na watafanikiwa... kisha wataandamana tena kusema bara iitwe zanzibar na zanzibar iitew visiwani, watafanikiwa
wakimaliza watasema baraza lote wapange wao, watafanikiwa pia
zaifffffffffffffffffffffffffffffff
Kumuondoa Uyu mama ni sawa na suluhisho la kuungoa mti kwa kuprune matawi badala ya mizizi
Ata shekhe mkuu ndo awe top wa necta hakuna mabadiliko we know mumeinvest kwenye madrasa na misikiti badala ya kwenye elimu nazani ata Mwinyi aliwai waambia ilo
Kumuondoa Uyu mama ni sawa na suluhisho la kuungoa mti kwa kuprune matawi badala ya mizizi
Ata shekhe mkuu ndo awe top wa necta hakuna mabadiliko we know mumeinvest kwenye madrasa na misikiti badala ya kwenye elimu nazani ata Mwinyi aliwai waambia ilo
Shehe mkuu unamjua wewe. Sisi tunataka mtu wa kusimamia usawa na baraza lisiwe na wafanyakazi wa dhehebu moja rc tu kwani pale ni parokiani? Hili litafanyika na litafanikiwa we subiri utaona hayo maandamano. Dhuruma basi hatutaki tena. Tunataka mtu anayeongoza kwa usawa na si kwahisia za imani yake.
Ningezaliwa mgalatia nisingekuwa na Amani maisha yangu yote.Aluta continual
watu wavivu, hayatak shule, hayatak suluhu, madai ya kijuhajuha, mijitu inawaza upumbavu muda wote, mijitu inaona dini ni ya kwanza kuliko maswala mengine yanayo-shape direction ya maisha ya mtanzania.
Kwa Yesu kuna amani tele kijana. Upendo ndio unatawala.
Ila hizi siasa za kutanguliza ubaguzi wa DINI zitatufikisha pabaya. Mtakuja na Washia na Sunni, then mtaanza waislam waarabu na wabara,, then dhambi itawatafuna.
Embu tuconcentrate kwenye vitu vya maana mfano Oil and Gas! Toa vijana madrasa wakasome Petroleum Engineering Saudi au Scotland waje tupige mzigo offshore.
Sio kafir kafir, dini zimeletwa kututawala na kutunyonya na watu ndio mmeloweka
kosa la Ndalichako ni kuwa KAFIR, kwani mpango wetu ni kuhakikisha nafasi zote muhimu ndani ya nchi zinashikwa na watu wa DINI YETU!Tukimaliza Ndalichako tutamfuatilia mtoto wa mkulima kwani ndio pekee anatia kiwingu pale juu! nyinyi endeleeni kulala sisi tupo kazini mpaka kieleweke!
watu wavivu, hayatak shule, hayatak suluhu, madai ya kijuhajuha, mijitu inawaza upumbavu muda wote, mijitu inaona dini ni ya kwanza kuliko maswala mengine yanayo-shape direction ya maisha ya mtanzania.
Hii ndo tofauti ya mtazamo wa kikafir na wa kiislam! Makafir dunia kwao ni pepo bt ni gereza kwa muumini wa kiislam.
Si wewe wala hao wanaoandamana walioko katika usahihi. Uislam hautasimama katu kwa kufuata matakwa ya watu fulani bila ya kufuata njia alizotumia mtume SAW na maswhaba wake kuusimamisha.
Ispokuwa ALLAH huwatia ujasiri kwa kuwateremshia malaika waislamu popote wanapoungana iwapo watasema wao MOLA wao ni ALLAH kisha wakawa na msimamo, na huwazidishia hofu wapinzani wao, ndicho kilichotokea jana.
Haikuwa njia sahihi na haitasaidia kufika wanakotaka isipokuwa kumkubali kwao ALLAH na kuwa na msimamo kwa wanchodai imekuwa threat kwa makafir, nyote mmeshuhudia.
OGOPENI tunaoanza kufuata njia sahihi halafu itapofika wakati yakawa wazi, hakuna atakayeweza kuzuia nusra ya ALLAH, nayo iko njiani yaja, hata wewe utaunga mkono insha ALLAH, nafaham huwezi kulikubali hili kwa sasa.
"Itapokuja nusra ya ALLAH na itapokuwa wazi, utawaona watu wakiingia ktk dini ya ALLAH makundi kwa makundi"
(Ni maneno machache tu ya Qur'an)
Nawasilisha.
wakimaliza hapo wataandamana kudai chadema iwe kafu, na watafanikiwa... kisha wataandamana tena kusema bara iitwe zanzibar na zanzibar iitew visiwani, watafanikiwa
wakimaliza watasema baraza lote wapange wao, watafanikiwa pia
zaifffffffffffffffffffffffffffffff
Ur very rite mkuu nimechangia pia kwa nganangwakuwa miluzi mingi umpoteza mbwa!dini isiwe issue kwenye uchumi tupige kazi bila kujali dili wala kabila