Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Status
Not open for further replies.
Kumbe maandamano ya amani yanawezekana tz? Kwa nini basi polisi walivamia arusha, morogoro na iringa?
 
Ningezaliwa mgalatia nisingekuwa na Amani maisha yangu yote.Aluta continual
 

Naomba kueleweshwa jamani! Waliorodheshwa na kupelekwa polisi halafu ndiyo wakaachiwa au?
 
Heh! Wamekariri?????

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jamani nchi imekwenda na maji!!! Ndalichako yuko chini ya waziri (Shukuru Kawambwa) wa dini yao mbona wasimfuate ili awafaulishie watoto wao? Chaguo la Mungu limeiweka nchi pabaya huu undumila kuwili ndiyo nini sasa? Mwema na Nchimbi mmeaibika kupita kifani hata watoto wa chekechea kwa hili watawadharau. Waisalm mkitaka kupata maendeleo ya elimu dunia andamaneni ikulu muiambie serikali iboreshe elimu maana mnasikilizwa na kuogopwa sana.
 

kwa kumbukumbu zangu.....hii ishu ilikwisha wekwa sawa....labda ije mpya
 
Mkuu baada ya hii na kumuondoa dr ndalichako tutaandamana tena kudai serikali igharamie mahakama za kadhi tumalizie na kumuondoa pinda ili safu yetu ikamilike
 
ni profesa wa chuo kikuu na ni muislamu!

mtu kuwa muislam sio tatizo, hoja ni je anaufanyia vp kazi uislam wake?
Wapo waislam jina wengi ambao dunia kwao ni bora kuliko akhera, hao hawana manufaa na uislam na wakotayari kuiuza dini yao kwaajili ya dunia.
Vivyohivyo wapo watu wakristo wengi wasiofuata maandiko ya biblia, hayo ni mambo yapo na yanajulikana ulimwenguni kote.
Muislam wa kweli akhera ni bora kwake kuliko dunia, hadhulumu, haibi, hapendelei, ni muadilifu kwa matendo yake na imani yake kwani ndivyo uislam unavyofundisha.
 
Kumbe maandamano ya amani yanawezekana tz? Kwa nini basi polisi walivamia arusha, morogoro na iringa?

Walikuwa hawajapokea maagizo toka Lumumba.pia waliogopa kukanyaga waya!hivi umewasikia waandamanaji kutoa kauli kuhusu mwangosi?
 
Mkuu baada ya hii na kumuondoa dr ndalichako tutaandamana tena kudai serikali igharamie mahakama za kadhi tumalizie na kumuondoa pinda ili safu yetu ikamilike

Tatizo nini asa mkuu ni utendaji wa mtu au dini yake?this is tanzania special
 

mkuu swala la wao kuingia ikulu kwao nikama wewe unavyokwenda kununu vocha.na wanasikilizwa mbaya kuna issue moja ilitokea hivi karibuni ambayo iliadhiri watu wengi wakati wenzao wanafuata taratibu kutatua hilo tatizo wao ikulu ndo ilikuwa sebuleni kwao imagine kuna maofisa wapo designated kwa ajili yako wanafikia hatua ya kumuweka waziri kwenye loud speker ili atoe maamuzi.to sad
 
Tatizo nini asa mkuu ni utendaji wa mtu au dini yake?this is tanzania special
Mkuu tunataka safu zote za uongozi wa juu ziwe chini ya dini yetu ili ijumaa kwenye sala zetu tuwe tunapanga mikakati vizuri ambayo tukiipeleka haitapigwa . Huoni IGP na kamanda wa polisi DSM ni ndugu zetu ndio maana maandamano hayakuhitaji kibali kwasababu tulikubaliana nao huko masjid
 
Kwani maandamano ya leo yalikuwa na kibali?

Ni mkweli mkuu hayakuwa na kibali na pia sababu za kiintelijesia hakikuonyesha kama kutakuwa na maandamano lakini kwa hayo mengine wameshatangaza kuwa yatakuwepo.
 
Mkuu baada ya hii na kumuondoa dr ndalichako tutaandamana tena kudai serikali igharamie mahakama za kadhi tumalizie na kumuondoa pinda ili safu yetu ikamilike


Elim ahera kaZi kweli kweli!!!!
 

Duh!sasa kwanini msianzishe chama ili muwezekutekeleza hayo matakwa yenu?mueende mbali zaidi na kudeclare kuwa hii nchi ni ya kidini flan ili ulimwengu utambue hilo!if uve that gats why are u hesitate?
 
We unadhani Watapataje KURA bila Uti wa Mgongo wa Waislam.. Halafu wakipata Wanawatupa Kama takataka na Wenyewe wanafurahia kisa kuna Waislam waliowachagua. Akirudi nyumbani hana hata chumvi..

Hilo ni neno, badala ya kuangalia masuala ya maendeleo wanaagalia vitu visivyo NA mashiko. Tatizo KUBWA ni uwezo aw kiuchumi, bila kumi kwamba Huko HILI NI BOMU KUBWA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…