Dr. Ndalichako joyce- necta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Ndalichako joyce- necta

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CHUAKACHARA, Mar 27, 2012.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Dr. Ndalichako, ona sasa mtoto wa watu bado anaandamwa. Kumbe wanafuatilia Form five kaenda wapi, KISA ni kutoa matokeo ya mitihani kwa kutumia majina ya watoto wetu, badili mfumo weka namba za watahiniwa na si kwa vile anayeandamwa ni mtoto wa mkubwa, la hasha, natural justice dictates that!!!!. Matokeo ya mitihani ni personal and not public privilege
   
Loading...