Dr. Ndalichako: Baada ya vyeti feki tutaanza na elimu feki!!

Ni waziri wa elimu prof Ndalichako amesema serikali italazimika kupitia elimu za watumishi wake kwani wengi wao licha ya kua na vyeti vizuri lakini kilichomo vichwani mwao ni duni sana ukilinganisha na vyeti source waziri akiwa tbc.
Wafanyakazi wafanyiwe interview makazini
 
Mmhhh hapo sasa, wale ndugu zangu wanaoambiwa, wakasome tu wakatafute cheti, haijalishi kama wameelewa au laa kazi watajulia kazini, wapo wengi serikalini
 
Ni waziri wa elimu prof Ndalichako amesema serikali italazimika kupitia elimu za watumishi wake kwani wengi wao licha ya kua na vyeti vizuri lakini kilichomo vichwani mwao ni duni sana ukilinganisha na vyeti source waziri akiwa tbc.

Waanze na Mawaziri kwanza.
 
Back
Top Bottom