babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,425
- 3,300
Dk . Emmanue Nchimbi , ambaye
alikuwa waziri wa mambo ya ndani ya
Nchi, yuko hoi hospitarini . Madaktari
wanasema anasumbuliwa na ugonjwa
wa msongo wa mawazo .
Kwa mujibu wa mmoja wa
wanafamilia wa karibu wa Nchimbi ,
anasema mwanasiasa huyo
amekubwa na ugonjwa huo mara
baada ya Rais Jakaya Kikwete
kutangaza baraza lake la mawaziri
Jumapili iliyopita.
Amesema Nchimbi amekuwa
akisumbuliwa na msongo wa mawazo
tangu alipolazimishwa kujiuzulu na
Bunge baada ya kukumbwa na kashifa
kwenye opesheni ujangili.
Amenieleza kwa sasa amelazwa
kwenye hospitali moja jijini Dar es
Salaam chini ya ulinzi mkali wa
wanafamilia. Kulazwa kwake na hata
ugonjwa wake kumefanywa siri
kubwa .
Tunaendelea kufuatalia na
kutawaletea kila kitakachopatikana.
Chanzo: mitandao ya kijamii.
alikuwa waziri wa mambo ya ndani ya
Nchi, yuko hoi hospitarini . Madaktari
wanasema anasumbuliwa na ugonjwa
wa msongo wa mawazo .
Kwa mujibu wa mmoja wa
wanafamilia wa karibu wa Nchimbi ,
anasema mwanasiasa huyo
amekubwa na ugonjwa huo mara
baada ya Rais Jakaya Kikwete
kutangaza baraza lake la mawaziri
Jumapili iliyopita.
Amesema Nchimbi amekuwa
akisumbuliwa na msongo wa mawazo
tangu alipolazimishwa kujiuzulu na
Bunge baada ya kukumbwa na kashifa
kwenye opesheni ujangili.
Amenieleza kwa sasa amelazwa
kwenye hospitali moja jijini Dar es
Salaam chini ya ulinzi mkali wa
wanafamilia. Kulazwa kwake na hata
ugonjwa wake kumefanywa siri
kubwa .
Tunaendelea kufuatalia na
kutawaletea kila kitakachopatikana.
Chanzo: mitandao ya kijamii.