Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,380
- 39,333
Mapema leo Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Raia anayeshughulikia masuala ya Muungano Dr. Hussein Mwinyi amesema kuwa Zanzibar haiwezi kujiunga na vyombo vya kimataifa ambavyo vinahitaji nchi yenye dola iwe mwanachama. Amesema kwa vile Zanzibar siyo dola (sovereign) basi haiwezi kujiunga na chombo kama IOC na zaidi ya yote alihofia mgongano wa Kikatiba. Kwa namna fulani inaonekana yeye na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje ambaye ndiye msemaji kwenye masuala ya kimataifa wanatakiwa kuwekwa kwenye chumba kimoja ili wawasiliane!!