maskini lakini kachoka. Mungu akunusuru urudi uje ujenge taifa.
amina sana kwa maneno yako matamu mtumishi wa mungu.hakika mungu amejidhihirisha kwake kweli.usihofu kabisa hatakufa bali ataishi kuyatangaza matendo makuu ya mungu....niliona tangu tar 15/10/2011 hali yake ikianza kutengamaa.
Dr. Ukirudi home katoe sadaka yako ya shukrani kwenye madhabahu ya mungu unako abudu....kisha samehe wote waliokutenda uovu unaowafahamu na usio wafahamu. Then uone mungu mwenye haki atakavyo hukumu kwa haki ili sifa na utukufu urudi kwake. Kamwe usijiingize kwenye revenge maana vengance is of god!
Mungu amekufanya wewe kuwa ishara kwao wote walio na roho za ibilisi nao utawaona kwa macho yako jinsi watakavyo kuwa exposed na kuaibika!
Uhimidiwe mungu wangu utukuzwe maana wokovu una yesu milele amina!
Think beyond what you know and what you see........ Make sure your words are not bitter because In no time you will have to swallow them.
Wapi JS atuambie kama ile Pollonium 236 yake inatibika?
maskini lakini kachoka. Mungu akunusuru urudi uje ujenge taifa.
From the science point of view, no one has ever survived after contacting Pollonium.
kwani amegundulika anaumwa nn?
Madaktari wote hao walimtibu?
Pichani Dr .wa kweli aliye enda shule sio ya kupewa akiwa amepozi na madaktari waliomtibu wa Hospitali aliyolazwa
amewapa hela ili apige nao picha ya pamoja
Hebu tujiulize kwa nini Dr.atibiwe na timu kubwa like this ya madaktari na manesi. Hapo pana kitu fulani kimejificha. Naanza kumuamini JB