Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,100
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...
Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....
Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.
Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...
Majuto ni mjukuu Mwakyembe wana Kyela walikuambia huko unako enda siko ,lakini hukusikia na ukawaponda wana Kyela ambao walikusimamia kidete wakati wote ,ukawaasi na kwenda kufanya urafiki kwingine sasa unataka wana kyela wafanye nini .Tunakuombea urudi salama nyumbani na uje uwaangukie wana Kyela,pamoja na yote hatuwezi kukutupa ni mtu wetu kijana wetu .Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...
Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....
Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.
Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...
Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....
Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.
Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...
Dr. Mwakyembe, Get well soon.
We still need you.
Hii thread ni uhuni, tunakutakia afya shujaa Mwakyembe.
Wajua CCM wakikuona uko RADICAL kidogo,MKEREKETWA wa maslahi ya wananchi hasa wa chini, wanahisi kuwa huyu ni THREAT basi WANAKUVALISHA GAMBA.[Kua na Huruma,kumbuka kinachomtesa kule India ni ktk kutupigania sisi] Hakuna anachotupigania Mwakyembe,kama aliweza kuficha uozo leo ndo aje aseme wakati imekula kwake? Inamaana kama asingeandamwa ili afe angekaa kimya,so uadilifu na uzalendo wa mw akyembe uko wapi? Mwakyembe ni wakala wa mafisadi,walimtumia na watamuua tu, Mimi nadhani ingekuwa vizuri an gekaa kimya ili aje aseme wakati wanaotka kumtoa roho hawajua kwa hapa atafia huko huko India labda aite press huko huko.