Dr. Mwakyembe, muda wako umefika


Kumekucha!!! nyukaneni hadharani... sisi wapiga kura tuchague mbivu na mbichi.
 

Unahangaika sana kumtetea huyo mwizi wako.
 
Kufikiri Lowasa ni mtu wa kuaminika ni kuitafutia nchi hii janga jingine. Yaani nchi yangu Tanzania itoke kwenye janga moja la JK kuingia katika janga jingine la EL
 

Mdau naombeni kama unayo audio za baba wa taifa uwe unazitupia humu mpaka uchaguzi ufike wale wote waliowagumu wa mioyo na matomaso wawe wamepata wepesi wa moyo na kujitambua Namnukuu Mwl Julius Nyerere aliwahi kuonya Ikulu ni mahala Patakatifu , na si pango la walanguzi na wanyanganyi, ukiona mtu anakimbilia Ikulu huyo ni wa kuogopa kama ukoma,

Na ukiona mtu anatoa pesa ili kupata uongozi ama kutoa chochote kwa ajili ya kupata madaraka kwa wewe unaepewa ujiulize atazipatapataje pesa alizotoa ili kupata kile alichokuwa akitaka? Lowassa ni mmoja wapo ni wa kuogopwa kama ukoma.
 

Are you JB?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…