Dr. Mwakyembe aweka hadharani ugonjwa wake

Mwakyembe unamkosea Mungu wako hujasimama kwenye ukweli katika jambo kubwa kama hili la kulishwa au kupakazwa sumu. Sema ukweli kuhusiana na jambo hili may God bless you brother
 
Ahsante, lakini kulingana na prof. mmoja mtaalamu wa immunology anasema radiation ndio chanzo kikubwa cha kuua hizo cell zinakotengenezwa- kwenye bone marrow. white cell kama inauua cell nyingine itatokea kwenye viungo vingine na itasababisha inflamation na sio kama ugonjwa wa mwakyembe. sumu-polonium itakuwa chanzo cha ugonjwa wake

radiation kweli inaua cells. huu ugonjwa wa mwakiembe cells zinashambuliana. inakuwa kama mbwa kalala ghafla anashutuka na kumwuma mwenye mbwa kifikiri ni adui.

mabadiliko katika tabia za cells ni matokeo ya athari za muda mrefu. sumu ina athari za hapo hapo ikiwa nyingi inakuua ikiwa kidogo inakutesa kwa muda.

mlimtukana bure manumba. huko aliko atakunywa bia na kusema niliwaambieni.
 
Mujwahuzia;
Jamani H. Mwakyembe ni kiongozi wa ajabu sana,kwa masikitiko mengi sisi watanzania ambao usiku na mchana tulikesha tukiomba dua kwa mwenyezi Mungu amnusuru na kifo kibaya cha kilishwa Sumu kama walivyotamka yeye na wafuasi wake katika kanisa la Ufufuo na Uzima pale Kawe jijii Dsm mwezi february watanzinia tulisikitishwa na taarifa hiyo ingawa hatukuwa na maamuzi tulitokwa na machozi kwa wale wanaofahamu ujasiri wa Dr,H.Mwakyembe hasa katika sakata la Richmond na EPA ingawa alisema alificha kidogo ukweli kusudi ainusuru serikali ya chama cha Mapinduzi leo anatwambia mjadala kuhusu ugonjwa wake umefungwa full stop ni jambola kusikitisha sana mwakyembe kuifia serikali yake na chama chake pamoja na kazi yake ni bora kuliko Maisha yake.ni bora ukafa wewe lakini chama chako na serikali yako ikabaki imara Swali moja najiuliza Mwakyembe unjionaje katika jamii iliyokuzunguka ambayo umejikusanyia umaarufu kutoka kwakeeeeeeeeeeee
 
Haya ya Mwakyembe:Ametumia kinachoweza kuitwa "busara" kuficha ukweli.Lakini ikumbukwe pia alitumia hiyo hiyo "busara" kuficha ukweli wa tume iliyochunguza Richmond akadai anayo siri iliyojificha na kwamba siku ikifika ataitoa hadharani.Anasubiriwa kutibuliwa kama maji ya mtungini ukishaingiza kata...!With time atasema yote--ya Richmond na pia ya ugonjwa wake.Tusibiri....
 
WassiraKilimo.jpg
[/QUOTE]

Ninadhani hili nalo gonjwa la ngozi..angalieni vizuri hii si kawaida..Salon za kinondoni mmeshindwa kweli kuiweka sawa hii ngizi japo srubbing?
 
Mami NN, heri yako huna imani na uchunguzi.

Mkapa yeye ana imani kubwa kwa Serikali na Chama cha CCM.......

Mie nina imani zaidi na Wassira......

WassiraKilimo.jpg

Haya semeni na huyu naye amewekewa sumu? Hakuna cha sumu wala nini hawa wote wamekula madege yasiyoliwa.
 
usiamini haraka ....siku zote ugonjwa huu hitokana na kitu kigeni kuingia mwilini na kushambulia hasa seli za mwili.....lakini pia kumbuka kwamba huyu mwakyembe ni mzuri wa kupindisha taarifa....

Lakini hawezi kufikia hatua ya kupindisha hata zile zinazohusu maisha yake binafsi.
 
Back
Top Bottom