hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
Chadema yabomoka kata ya donyo wilayani Siha ambapo wanachama wake 20 wamejiunga CCM kwenye mkutano Wa hadhara Wa kampeni Wa Dr Mollel mgombea ubunge kupitia CCM. Ni shida. Malaigwanan na mamorani kibao wamebwaga manyanga na kutangaza Wazi kuwa chadema imepoteza dira na mwelekeo. Hadi tarehe 17.02.2018 mbowe atabaki peke yake huko kwenye machadema