Kwanza nimpongeze Doctor Mkumbo hongera sana unastahili kwani kwenye uchapa kazi uzembe hujitenga;wewe ni mchapa kazi na kiongozi makini, hongera. Pili niupongeze uongozi wa UDSM kwa kuuona ukweli, kuweka kando siasa za vyama na kuangalia maslahi ya Chuo Kikuu na Taifa. Hongera Prof. Rwekaza Mukandala na timu yako.[/QUOTE]
aka MAPACHA WATATU
1.MABOKO MAKENYA AKA MA-STICK
2.MGAYA YUNUS
3.RWEKAZA MUKANDALA
niko online coz i can afford broadband from my own deep pocket. na pia silipwi kwa kutumia kodi za wavuja-jasho.Mbona wewe uko online??? Utajifanya eti ni mjasilia mali................hahahaaaa......... mjasilia mali hawezi kuwa na time ya kupoteza kwenye internet!!
Hapo tutapishana. Asiache taaluma maana inamuhitaji bado. Asubiri azeeke kidogo
Katufu Tungojee migomo ya Chadema ihamie mkwawa
Hongera Dr Mkumbo, mbunge wa Iramba magharibi 2015.
hujalazimishwa kusoma posts zangu, niweke kwene ignore list! btw, news flash, mpuzi ni wewe.nukta.
sawa chokomaji, it is mutual.sawa mama, nakuweka sasa kwenye Ignore list
All the best mbunge mtarajiwa!
big up mkumbo then prof baregu anarekebisha katiba prof safari ndani ya nyumba ww unasema cdm hakuna wasomi m4czeeeeeeeeeeeeeeeee
Hongera Dr Mkumbo.Huwa unanifurahisha sana kwanye kile kipindi cha This week in perspectives!
Ha ha ha ha ha ha,wapo wengi tu kama Mbowe,Wenje,Msigwa,Lema,Sugu na wengine kibao!
Dr Benson Bana! Mdhalilishaji wa taaluma ya u-Dr!Hongera Dr,wewe ni kati ya wasomi wanao simamia misimamo yao,wewe si mnafiki kama wale jamaa wa REDET.