mende 2014 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 763 Reaction score 131 Aug 20, 2014 #41 MENGI ameonyesha ujasiri ambao hata rais wa nchi hajawahi kuonyesha. Hongera sana MENGI.
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,458 Reaction score 17,946 Aug 20, 2014 #42 super nova said: ha haa...asaidie watu aliowaajiri..unyonyaji na majungu vs undugu .... basic rights ni ndoto ukiwa chini yake. ila kwa ishu flani flani ndio kwanza kuita media na kuseek sympathy...damb Click to expand... Mkuu mbona huyu jamaa analalamikiwa sana? kwani mishahara anayolipa wafanyakazi wake inasimama kuanzia ngapi hadi ngapi?
super nova said: ha haa...asaidie watu aliowaajiri..unyonyaji na majungu vs undugu .... basic rights ni ndoto ukiwa chini yake. ila kwa ishu flani flani ndio kwanza kuita media na kuseek sympathy...damb Click to expand... Mkuu mbona huyu jamaa analalamikiwa sana? kwani mishahara anayolipa wafanyakazi wake inasimama kuanzia ngapi hadi ngapi?