Acha MENGI aongee na mda huu tunamuona @ITV na ameahidi kusomesha watoto wa mjeruhiwa na kuomba polisi wachukue hatua za haraka kuwasaka wahusika wote. Amesema mganga aliyehusika atafutwe na akamatwe na awataje hao wahusika. Big up MENGI maana kauli yako imeonyesha masikitiko makubwa sana ila Polisi wetu ndo watakuanguasha pamoja na MAHAkama zetu maana RUSHWA imetawala sana.
Mengi amesema atakayesaidia kukamatwa kwa waliomkata mkono Albino wa Tabora atamzawadia sh.10,000,000. Lakini pamoja na hayo, wengine wa mauaji ya hapo awali wamewahi kukamatwa na baadae kuachiwa licha ya kuwepo ushahidi wa kuthibitisha hilo.
Mkuu mie nimemsikia Mil.2.Mengi amesema atakayesaidia kukamatwa kwa waliomkata mkono Albino wa Tabora atamzawadia sh.10,000,000. Lakini pamoja na hayo, wengine wa mauaji ya hapo awali wamewahi kukamatwa na baadae kuachiwa licha ya kuwepo ushahidi wa kuthibitisha hilo.
uchungu waapi..huyu mtu anapenda airtime kwenye dude lake..sasa hivi anaongea hapa..habari yake kila saa on air..
Awasaidie wafanyakazi wake kwani wao ni Albino? Yeye kasema kuhusu albino wewe wasema wafanyakazi. Mbona sikuelewiha haa...asaidie watu aliowaajiri..unyonyaji na majungu vs undugu .... basic rights ni ndoto ukiwa chini yake. ila kwa ishu flani flani ndio kwanza kuita media na kuseek sympathy...damb
Mengi amesema atakayesaidia kukamatwa kwa waliomkata mkono Albino wa Tabora atamzawadia sh.10,000,000. Lakini pamoja na hayo, wengine wa mauaji ya hapo awali wamewahi kukamatwa na baadae kuachiwa licha ya kuwepo ushahidi wa kuthibitisha hilo.
ha haa...asaidie watu aliowaajiri..unyonyaji na majungu vs undugu .... basic rights ni ndoto ukiwa chini yake. ila kwa ishu flani flani ndio kwanza kuita media na kuseek sympathy...damb
ha haa...asaidie watu aliowaajiri..unyonyaji na majungu vs undugu .... basic rights ni ndoto ukiwa chini yake. ila kwa ishu flani flani ndio kwanza kuita media na kuseek sympathy...damb
uchungu waapi..huyu mtu anapenda airtime kwenye dude lake..sasa hivi anaongea hapa..habari yake kila saa on air..
Fungua thread mpya.[/QUOTE tuipejina gani sasa