Mengi amesema atakayesaidia kukamatwa kwa waliomkata mkono Albino wa Tabora atamzawadia sh.10,000,000. Lakini pamoja na hayo, wengine wa mauaji ya hapo awali wamewahi kukamatwa na baadae kuachiwa licha ya kuwepo ushahidi wa kuthibitisha hilo.
Acha MENGI aongee na mda huu tunamuona @ITV na ameahidi kusomesha watoto wa mjeruhiwa na kuomba polisi wachukue hatua za haraka kuwasaka wahusika wote. Amesema mganga aliyehusika atafutwe na akamatwe na awataje hao wahusika. Big up MENGI maana kauli yako imeonyesha masikitiko makubwa sana ila Polisi wetu ndo watakuanguasha pamoja na MAHAkama zetu maana RUSHWA imetawala sana.