Mwinyi, Mkapa na Kikwete kwa pamoja wamebwagwa na Dr.Magufuli. Na kama ungekuwa mchezo wa kuvuta kamba hao watatu wote kwa pamoja upande mmoja na upande huu Dr.Magufuli peke yake. Hadi muda huu hao watatu chali wanagalagala mavumbini na kidume kimesimama wima.
Mfumo wa elimu uliwashinda hao watatu, huyu mmoja kauweza.
Hao watatu waliua viwanda huyu mmoja anavifufua
Hao watatu waliushindwa ufisadi,wakaulea,wakauasisi huyu mmoja ametweza ufisadi na mafisadi.
Hao watatu walishindwa kudhibiti ufisadi bandarini huyu mmoja kaweza.
Basi, sio ajabu tena kuwaona wakijizoazoa kwenda kujitia ukaribu ili yamkini wahifadhiwe aibu zao.