Dr. Magufuli tulia, utaharibu

Mkapa hakuwa mpenda masifa
na alikuwa ana exposure ya kimataifa
huyu hatujui atakuaje
mkapa alikuwa akitaka ku relax ni pombe tu kimya
huyu mpenda wanawake na mpenda sifa
asipokuwa makini anaweza kufanya teuzi za sketi na kuharibu na kukoroga kabisa
 
Sidhani kama kuna atakayemzidi JK kwa kuweka sketi huko wilayani.
 
magufuli kwa mwendo huu kipindi cha kampeni atakosa mvuto.
 
Hata akivunja sheria nani atamchukulia hatua? CCM wote si wapo juu ya sheria?
 
Mkapa hakuwa mpenda masifa
na alikuwa ana exposure ya kimataifa
huyu hatujui atakuaje
mkapa alikuwa akitaka ku relax ni pombe tu kimya
huyu mpenda wanawake na mpenda sifa
asipokuwa makini anaweza kufanya teuzi za sketi na kuharibu na kukoroga kabisa

Kwa hiyo ni mfululizo wa wapenda sketi, Watz tutarudi kulekule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…