MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
Acha kumislead hapa..Kwanza nikusahihishe kidogo FGBF siyo Kanisa na kwa maana hiyo haliwezi kuwa na Askofu!
Kakobe hana makanisa sema ana huduma za " kujifunzia" Biblia zaidi ya 400 utaeleweka. Hizi huduma hazina tofauti sana na vituo vya maandalizi kwa ajili ya mitihani ya QT!Maana ya neno "Askofu" ni mwangalizi Kakobe ana makanisa zaidi ya 400 nchi nzima kwa hiyo ana haki ya kuwa Askofu
Nenda katubu we mlugaAskofu mkuu wa kitu gani?
Kasome katiba yao halafu urudi hapa kututhibitishia kama lile ni Kanisa!Acha kumislead hapa..
Sio Kanisa ila ni nini?? Ni Saccos au Vicoba ile.
Jamaa anamnyoosha mwizi wa wake za watu umeamua kujitoa fahamu kabisa..
Nonsense.
Nani amekuambia hiyo huduma ( ngo) ya Zskaria ni dhehebu?!!....dogo jiongeze!
Usinijibu kwa jaziba.Kwenye Biblia kuanzia mwanzo mpaka Ufunuo hakuna neno daraja LA Uaskofu,kwanza nikuulize unaelewa kazi za Askofu? Anateuliwa au ni juhudi za Mchungaji! Kasome mwenyewe Timotheo - 1 Timothy 3Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
Leo nimejumuika na Waumini wenzangu katika Dominica ya 3 mwaka B parokia ya Chuo kikuu Dodoma kigango cha mtakatifu John Fisher School of social Science,Neno kuu lilikua "TUBUNI NA KUIAMINI INJILI"
Nikakumbuka saga la namba moja wetu pale juu na Baba Askofu Kakobe pale ambapo watawala wanakosolewa na kudai Viongozi wa Dini wanaingilia mambo ya Siasa.
Kwa kweli mkatubu tu Mungu anampenda anaejishusha.
Nawasilisha.
Hilo daraja la Askofu alilipata wapi, alipewa kwa utaratibu gani na aliwekewa mikono na nani?!!!......Na tena ni mjumbe wa baraza gani la maaskofu?!! Karibu.
Umeshapanic! Ujiulizi kwanini TRA wanajiendea tu pale kukagua au kwanini Chikawe alitishia kuxifutilia mbali hizi huduma?....ni kwa sababu zimesajiliwa kwa penseli!Nenda katubu we mlugaunamuiga babako kugoma kutubu
Kuoana ni utaratibu kila jamii imejiwekea, siyo kama catholics wanavyotaka iweKitabu cha mwanzo. Pale Mwenyezi Mungu alipoona kwamba Adam ni mpweke akamuumbia msaidizi Eva.
Timotheo - 1 Timothy 3Hapa tunazungumzia daraja la " Askofu"....... hilo la ndoa kaisome vizuri Biblia halafu anzisha mjadala , utajibiwa!
Kwa hiyo kipimo cha " juhudi" za uchungaji wa Kakobe kilifanywa na nani?Usinijibu kwa jaziba.Kwenye Biblia kuanzia mwanzo mpaka Ufunuo hakuna neno daraja LA Uaskofu,kwanza nikuulize unaelewa kazi za Askofu? Anateuliwa au ni juhudi za Mchungaji! Kasome mwenyewe Timotheo - 1 Timothy 3
1 Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema.
2 Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
3 si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
4 mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;
5 (yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?)
6 Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.
7 Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi.
Kumbuka mjadala huu nimpana ila itoshe kukwambia Maaskofu Wa RC hawatambuliki kiBiblia maana kipimo cha uaminifu ni familia sasa kama hawana wake na watoto watawezaje kuchunga kundi?
Hakuna taasisi isiyo ya kiserikali ambayo haiwez kufutwa.Umeshapanic! Ujiulizi kwanini TRA wanajiendea tu pale kukagua au kwanini Chikawe alitishia kuxifutilia mbali hizi huduma?....ni kwa sababu zimesajiliwa kwa penseli!
Atakuwa mjumbe wa baraza la maaskofu Tanzania!!!! Baraza gani hilo mkuu, mbona hilo jukwaa silifahamu? Mimi najua TEC ( Tanzania Episcopal Conference) ambalo ni jukwaa linalowakutanisha maaskofu wa majimbo yote Tanzania kwa wakatoliki, kama kuna jukwaa ambalo Askofu Kakobe , askofu gwajima etc ni wajumbe wake hebu tujuzane.Wakati wewe unaumia kuona Kaboke anaitwa Baba Askofu Kakobe,,,,maelfu wa watu wanaona ni sahihi.
Hisia za kiimani na za kisiasa haziwezi kuufuta uaskofu wa Zacharia Kakobe.
Waumini wa FG churches na wakristo wengine wengi tanzania na nje ya tanzania wanaamini na wanajua kuwa Zacharia ana daraja la UASKOFU.
Punguza dharau, punguza hisia, heshimu japo kidogo tu...maana hata ukikataa kuwa kakobe sio askofu, bado ataendelea kuitwa Baba Askofu, na kikubwa zaidi, ataendelea kuwa mjumbe wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Nani amekuambia hiyo huduma ( ngo) ya Zskaria ni dhehebu?!!....dogo jiongeze!
Hakuna mtu aliyeumbwa na Mungu jina lake Eva.Kitabu cha mwanzo. Pale Mwenyezi Mungu alipoona kwamba Adam ni mpweke akamuumbia msaidizi Eva.
Hahahaa...!!!!... Kasome sheria ya vyama vya siasa uone kama chama dume kinaweza kufutiwa usajili halafu eti " makanisa" yote wewe inaelekea umelewa mbege!Hakuna taasisi isiyo ya kiserikali ambayo haiwez kufutwa.
Kama unataka kuegemea kweny hilo, basi yaonekana fika kuwa umelewa mvinyo ulo-expire.
Makanisa yote yanaweza kufutiwa usajili
Vyama vya siasa vyote vinaweza kufutiwa usajili
Taasisi nyingine zote (NGOs) zinaweza kufutiwa usajili
Ni suala la nani ameshika mpini na ana nguvu ipi
Kwa maana hiyo, hata kanisa lako linaweza kutishwa, na lisifanye lolote.
Hakuna mtu aliyeumbwa na Mungu jina lake Eva.
Hapa nd unaonesha jins gani umekaririshwa na katekista wako.
Mwanamke aliyeumbwa hapa duniani ni Hawa pekee, wengine wote walizaliwa.
Na hiyo Mwanzo unayosema, hakuna mtu anaitwa Eva aliyeumbwa kwa ajili ya Adam.
Rudi kafanye mafundisho ya komonio