Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

Sisi ni Wapiga kura wa mtama tunashangaa huonekani jimboni wala hupigi kampeni Huku Suleiman Mathew akiwa amejiwekea mizizi ambayo si rahisi kuing'oa kwenye siku zilizobakia, Nape umekua kimyaa mno kwanini? tunajua Mtama siyo kwenu lakini angalau ungekua unalala kwenye nyumba za wageni na Kuwatembelea wapiga Kura nape hebu jitokeze Jimbo linaenda Ukawa hili.
 
Baada ya Mapumziko ya siku mbili, mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr. Magufuli ameanza rasmi ziara kwenye mkoa wa Lindi na asubuhi hii amefanya mkutano kwenye jimbo la Nachingwea.

View attachment 297753View attachment 297754View attachment 297755View attachment 297756View attachment 297757





Hivi uwongo huu Ccm utawasaidia nini?

Hizo picha mbona siyo za asubuhi jamani?

Kwa nini mnapenda kumtumikia shetani asiye na fadhila?

Haya farijianeni kwa uwongo huo!
 
Mkuu ko hutaki liende ukawa?

Nape anaandaa goli la mkono kama alivyoahidi hapo nyuma.
 
Hata umalaya ni kazi...!!! Ideology nyingine bwanaa...! Kazi ya tingatinga ni kubomoa na sio kujenga..sijui nani ni kampeni manager wa masolex...!!!

Kazi ya kubomoa ufisadi,uvivu na uzembe ndio anayoenda kuifanya!!

Mabadiliko ina maana tugeuzwe kuwa mazombie!!! utajibeba
 
jana niliangalia chanel ten ukifiwa mtu wa ccm huko.mtama utazikwa na watu wa ccm tu...huyu jamaa alitykana sana watu sasa anavuna alichopanda
 
NAKUMBUKA SUMBAWANGA; HATOKI MTU


450.jpg
 
Hivi uwongo huu Ccm utawasaidia nini?

Hizo picha mbona siyo za asubuhi jamani?

Kwa nini mnapenda kumtumikia shetani asiye na fadhila?

Haya farijianeni kwa uwongo huo!

Labda wako majira tofauti huko ni jioni picha zina giza..nasikiliza membe anatema pumba siamini hutu alikuwa waziri
 
Press ya jana jamaa alikua anafanya vikao na wataalam wake,leo tunaambiwa alikua mapumziko!

Ulitegemea ashinde amelala tu kama nyie wavivu? huyo ni mtu wa kazi mda wote hata kama ni mapumziko si kwa maana ya kusimama kufanya shughuri zingine
 
Back
Top Bottom