Dr. Magufuli kumlipa Lowassa Monduli

Dr. Magufuli kumlipa Lowassa Monduli

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Katika hali ya kuonesha ubabe wa kisiasa na kukubalika, mgombea wa CHADEMA/UKAWA alipata mapokezi ya kustaajabisha na mkutano mkubwa huko Chato. Chato ni jimbo na nyumbani kwa mgombea wa CCM,Dr. John P. Magufuli. Mapokezi ya Lowassa Chato, kutokana na wanyetishaji wangu, yamemuanika Lowassa kama anayekubalika popote na kumdhalilisha Dr. Magufuli.

Katika hali ya kulipa kisasi cha kisasa na kisiasa, Dr. Magufuli ameapa kwenda kuitikisa Monduli,jimboni na nyumbani kwa Edward Lowassa.Wanatimu wa Dr. Magufuli wameniambia kuwa lengo la kwenda na kuitikisa Monduli ni kuonesha umma wa Tanzania kuwa anakubalika popote, hata umasaini kwa Lowassa. Kisiasa, Dr. Magufuli anapaswa kujibu mapigo kama anavyotamani.

Go Dr. Magufuli and we see a real politics!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Magufuli akimaliza wasisahau kutupa gharama za mkutano huo nikimaanisha gharama za kusomba watu kutoka Iramba kwa Mwigulu, Bumbuli na DSM bila kusahau gharama za mabasi ya Aboud kusafirisha watu kutoka Chalinze, Msoga na Morogoro
 
May be aende na lundo la wasanii wote anaowajua ili umati ukapate burudani ya BURE lakini si kusikiliza sera za chama chake.
 
Nipo Mkuu


Mzee Tupatupa

Mzee huwa nakuheshimu sana hivi kwa nini msiwaonye hawa vijana wenu akina January Makamba kuwa hizi sarakasi za utafiti wa ushindi wa asilimia 70 hauwasaidii kwa sasa.au mzee na wewe unashiriki haya utafiti mzuri ambao ungewasaidia ni kutimua hao wasanii wote na kuacha kusomba watu ktk mikutano nazani hicho kitakuwa kipimo kizuri kwenu mzee.hebu nisaidie ufafanuzi maana wewe upo jikoni na kwa nyongeza kwa wewe binafsi ukiondoa ushabiki huoni kuwa hamtashinda mwaka huu
 
Hakuna mmasai Mjinga kwani toka lini ccm wanajazawatu .Wao hutumia maloli nagalama kuuubwa .wataisomatu
 
Labda awasombelee toka sindida na dodoma, kwa wamasai atachemka
 
VUTA-NKUVUTE

Aisee chalii angu huku asidhubutu ku... kuja ...?masai aina mchezo kabisa iko mpenda lowasa sana labda wasombe watu na masemi kutoka na buku kumi kumi mkononi watakuja .
 
Last edited by a moderator:
Daaah hadi rahaa, magamba yanajitahidi kufanya kila aina mbinu lakini ukawa tunazitegua tu.TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU.
 
Chadema wamechukuwa bodaboda zangu zaidi ya kumi vijana wapewa 20 kila siku unaongeya nini wewe?kweli nyani anaona la mwanae lake haoni
 
Nani hana mungu maadamu unaroho mlinzi wako ni mungu'labda mungu wa gwajima
 
Back
Top Bottom