Bedullah
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 206
- 79
Pamoja na joto na mihemko ya kisiasa na hiki ki changamoto ya wapiga kelel/wanywa viroba watani zetu wa jadi PAKAWA lakini CCM itashinda kwa kishindo zaid ya 80% na kupata viti vingi vya ubunge, maana wananchi wanaiamni zaid CCM kuliko SACCOS zisizo hata na Physical Address, hivi UKAWA ndo nini (kwa sauti ya Joti)
CCM mbele kwa mbele.
Jipeni moyo tu; watanzania wa leo si wale wa 1995. Mnaweweseka kukanusha hata uhalisia! Sasa mnasema eti picha za mafuriko ya vijana wenye kiu ya mageuzi ni za kughushi! Mlianza na CD ya oh... Lowassa ananunua watu, mkachemsha na sasa mmeamua kuukana ukweli!
Subirini Okt. 25 mshtuliwe mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango. Subirini mpate malipo halali kwa uhaini wenu dhidi ya umma wa watanzania kwa miango kadhaa sasa. Viva UKAWA. A luta continua!