GE2015 Dr. Magufuli (CCM) itashinda kwa zaidi ya 80%

GE2015 Dr. Magufuli (CCM) itashinda kwa zaidi ya 80%

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,805
Pamoja na joto na mihemko ya kisiasa na hiki ki changamoto ya wapiga kelel/wanywa viroba watani zetu wa jadi PAKAWA lakini CCM itashinda kwa kishindo zaid ya 80% na kupata viti vingi vya ubunge.

Maana wananchi wanaiamni zaidi CCM kuliko SACCOS zisizo hata na Physical Address, hivi UKAWA ndo nini (kwa sauti ya Joti).

CCM mbele kwa mbele.
 
Pamoja na joto na mihemko ya kisiasa na hiki ki changamoto ya wapiga kelel/wanywa viroba watani zetu wa jadi PAKAWA lakini CCM itashinda kwa kishindo zaid ya 80% na kupata viti vingi vya ubunge, maana wananchi wanaiamni zaid CCM kuliko SACCOS zisizo hata na Physical Address, hivi UKAWA ndo nini (kwa sauti ya Joti.
CCM mbele kwa mbele.


Umesahau kufunga mabano!!! hii inaonesha unachosema hukiamini!!! MMEPANIC!!!
 
Kama mpaka sasa hujui Ukawa wewe sio mwanasiasa halafu ulivyoandika tu inaonyesha ubongo wako una Ram 20mb.
 
Watu weweeee CCM juu juu juu zaid mtaji wetu upo vijijini ambako hawafahamu hiyo sijui UKAWA huko ndo tutawapiga bao la haja. Nyie angaikeni na wanywa viroba wa Mwanza, Mbeya na dar, sisi tumewekeza vijini huko ndo tuna kura za uhakika
 
Imefikia mahali ccm wanaita wapiga kura WANYWA VIROBA.

Hao wanywa viroba ndio wenye kura kwa asilimia 73%
 
Mdahalo kati ya MAGUFULI na LOWASSA

Swali: Nini kipaumbele chako endapo utapewa nafasi ya kuongoza nchi.

Lowassa: Elimu Kwanza

Magufuli: Sitawaangusha, nasema sitawaangusha

Swali: Utaunda serikali ya aina gani

Lowassa: Nitaunda serikali imara, rafiki kwa watu wote, rafiki kwa mamantile, rafiki kwa Boda Boda

Magufuli: Nimesema sitawaangusha

Swali: Unatuahidi nini?

Lowassa: Kupambana na Umasikini kwa vile nauchukia.

Magufuli: Kira mtu raptop, sitawaangusha

😜😜😜😜😜😜✌✌
 
Kama huyu ndio mtu anayeiwakilisha ccm mitandaoni basi kuna tatizo mahali
 
Nimesikia kuwa wanamuwekea #lowasa pingamiz kesho, wiki moja achunguzwe hii ni kweli? Mara tume ya uchaguzi kina watu maalum wamewekwa kule ili export majina ya watu hasa miji inayomuunga mkono el na pia wanaangalia umri, je nani anajua atujuze jamani?
 
Nasikia wameanza kutoa mikopo ya magufuli kijichi, yaani ccm kazi kweli.
 
Mwaka huu haiwezekani kupika matokeo maana mmewashtua watu mapema na goli la mkono
 
Mwaka huu ndo wakula hela yao nakuacha masikini, tuone nao waonje joto la jiwe
 
Nimesikia kuwa wanamuwekea #lowasa pingamiz kesho, wiki moja achunguzwe hii ni kweli? Mara tume ya uchaguzi kina watu maalum wamewekwa kule ili export majina ya watu hasa miji inayomuunga mkono el na pia wanaangalia umri, je nani anajua atujuze jamani?

Basi liwe kwa wote waliopitoshwa na ccm kumbea kwavile walikula pesa za escrow
 
Hizi kauli ni za kuwadharau wananchi ikizingatiwa hata Mh Rais alishasema kuwa enzi za ushindi wa namna hiyo zimepita.
 
Back
Top Bottom