Dr. Magufuli apindua mipango ya ufisadi TANROADS

hata mimi kuuu sipati picha kwani mtoto wa mkulima ni msukule tuu!

hahaa hebu imagine rais angekuwa Shein waziri mkuu Mtoto wa mkulima...hahaaa yaani wangekuwa wanakunywa uji wa ulezi tu ofisini
 
sipati picha kama tungekuwa na mawaziri saba kama magufuli
1.wazirii wa maliasili na utalii
2.waziri wa afya
3.waziri wa fedha
4.waaziri wa elimu
5.waziri wa kazi
6.waziri wa mawasiliano
7.na waziri wa michezo
 
Mhhh kai ipo.
Nasikia kuna Engineer mkali ilibidi aende Ghana kufanya kazi kama expert baada ya majungu ndani ya ujenzi na TANROADS.
 
hii pombe mwaka huu lazima ujenzi wainywe wote
 
Pombe plus Mwakyembe iyo wizara tutarajie mengi ndani ya 3 years kama walivyosema kunzaia fly over mpaka daraja la kigamboni bila kusahau songwe airport
 

bado ana nafasi ya naibu waziri mkuu mnaikumbuka ya mrema..tuombe mungu ila moto wake ausomeki huyu achelewi kujeruhi na wajinga wa ikulu mzee akajuta
 

Duh!!! Kudadadekiii kazi ipo
 
vp kuhusu nyumba za serikali walizo gawana wanene ? aturudishie kwanza.
 
Magufuri hoyeeeeeeeeeeeeee, CCM hayeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Mwakyembe Hoyeeeeeeeeeeeeeeeee

kuna watu wanadhani John Pombe Magufuri alikuwa amekunywa pombe wakati anatoe semina elekezi kwa watumishi wa wizara ya ujenzi, huyu ni mpiganaji wa kweli na anaonyesha kwamba CCM sio yote mbaya kama baadhi ya watu wanavyotaka tuamini. kaza buti bwana pombe hadi kieleweke.
 
Akumbuke na barabara za mkoa wa Kigoma vinginevyo 2015 hao jamaa wa kijani hata kuchakachua watashindwa
 
Du hapa ipo shughuli! Hebu piga picha wewe ndio Ephraim Mrema! Jamaa anatoa live, kama noma na iwe noma!

Wakati ule yuko Ardhi naibu waziri wake, Lita Mlaki, alilia Bungeni. Na Mwakyembe akicheza tu jamaa atamlipua kwenye public.
 
Mawaziri wengine wako wapi? Wanafanya nini hadi siku ya leo?

Au bado wanafanya sherehe na familia zao badala ya kukutana na watendaji wa Wizara zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…