mtoa mada usirudie tena kufungua thread ya magufuli hata kama ni nyanya kiasi gani!!!huo mtego tumewaachia ccm waendelee kufungua thread nyingi za lowassa!kama wewe ni mwana ukawa original usirudie tena....naamini utanielewa
Maguri katutia hasara ya bil 900 za barabara katutia hasara ya bil 40 na kugawa baadhi ya nyumba kwa ndugu zake pia katutia hasara kwenye meli ile aliyoikamata badala ya kutumia akili anatumia nguvu, uyu sio raisi bomu ili watanzania wenzangu