Natamani Kuwe Na Presidential Debates...Hz Figisufigisu Sijui Hana Vision Ztajulikana Tu...By The Way 4days Remainng Kufikia Ile Siku Ya Hawa Tunaosema Mara Wengne Wagongjwa,hawana Vision Watueleze Waliyo Nayo Na Chama Chao....
Kiuhalisia hakuna Wizara aliyosimamia ambayo haijawahi kuwa na tuhuma za ubadhirifu wa fedha za ummamsimchokoze magufuri katulia mtoto wa watu hana makuu ukitaka kujua ana vision n mission kawaulize idara alizo simamia
hii imenigusa sana binafsi sijawahi hata kumsikia akiongelea mungano. prof. mwandosya alisema huyu jamaa hajawahi hata kuwa mwenye kiti wa shina sasa mambo kama hayo atajulia wapi?? laptop kwa kila mwalimu na million 50 kila jijini hata mengi anaweza kufanya hivyo.hajui kuzifafanua sera za kijamaa wala kibepari,tangu awe mwana ccm sijawahi kumsikia akiongelea chochote kuhusu TANU,ASP,inawezekana hajui hata mapinduzi ya zanzibar yalitokeaje,hajui karume alifariki lini, hajawahi kushiriki mdahalo wowote wa kijamii iwe ndani au nje ya nchi ili watu wajue msimamo wake kijamii,kisiasa na kiuchumi,amekazana kusema hatatuangusha utafikiri yeye ni mcheza mieleka
Hutakiwi kuuliza idara alizosimamia kujua magufuri hana vision wala vipaumbele, uulize idara kwani alikua anafanyia kazi idara au watu?msimchokoze magufuri katulia mtoto wa watu hana makuu ukitaka kujua ana vision n mission kawaulize idara alizo simamia
Kiuhalisia hakuna Wizara aliyosimamia ambayo haijawahi kuwa na tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma
1. Uvuvi - kaitia hasara Serikali Billion 3 kwa kukamata Meri pasipo kutafakari.
2. Ardhi Nyumba na Makazi - Kauza nyumba za Serikali kwa bei chee na zingine kauzia mahawara zake na hata fedha za uuzaji huo hazijulikani zilikokwenda.
3. Wizara ya Ujenzi zimepotea Tsh. Billion 252 ameshindwa kuzitolea maelezo.
Je wewe uliyeandika hayo unasemaje kuhusu Magufuli na utendaji wake katika Wizara mbalimbali alizowekwa?
msimchokoze magufuri katulia mtoto wa watu hana makuu ukitaka kujua ana vision n mission kawaulize idara alizo simamia
kama ulitegemea round tutampata raisi anaye tembea kwa madaha na madoido kama mamiss, imekula kwako.Lakini hawataweza hilo fisadi lao limekwisha kutembea kwenyewe ni shida kabisa.
hatuhitaji mgombea wetu akalishwe sehemu moja na mwana ccm,hatuna cha kujadiliana na ccm,tuna kazi ya kuitoa tu
hii imenigusa sana binafsi sijawahi hata kumsikia akiongelea mungano. prof. mwandosya alisema huyu jamaa hajawahi hata kuwa mwenye kiti wa shina sasa mambo kama hayo atajulia wapi?? laptop kwa kila mwalimu na million 50 kila jijini hata mengi anaweza kufanya hivyo.
Natamani Kuwe Na Presidential Debates...Hz Figisufigisu Sijui Hana Vision Ztajulikana Tu...By The Way 4days Remainng Kufikia Ile Siku Ya Hawa Tunaosema Mara Wengne Wagongjwa,hawana Vision Watueleze Waliyo Nayo Na Chama Chao....
Vission yake kubwa ni kuwa nakuja matatizo yenu, akiulizwa matatizo gani hana majibu
Unajua maana ya KUKOMBOA??????KUMBE TUPO TAABUNI NDANI YA CCM?????MAGUFUL NI CCM ATAKUKOMBOA KWENDA CCM???????JIONGEZE LOWASSA ATATUKOMBOA CC TULIO TESWA NA KUFILISIWA LASILIMALI ZETU TEMBO WAMEISHA UOZO MTUPU HIKO CHAMA subir ukombolewe kilaza wa mabadilikoUnachoongea sizani kama.umetumia ubongo ama ni maneno ya team fisadi ndio yamekujaa na ya Tapeli Mbowe anaeudanganya umma kwa kuita mtu fisadi ila leo anamuita shujaa na wewe unakubali kwa kushangilia kwa vifijo na unaandamana MAGUFULI NDIO KIONGOZI PEKEE ALIEBAKI NA ATAKAEIKOMBOA TANZANIA