Maneno ya Mwalimu Nyerere (RIP) kwamba
"Watanzania wanataka mabadiliko",
yanathibitika sana kipindi hiki cha uchaguzi huu pengine kuliko uchaguzi mwingine mwingine wowote uliowahi kufanyika katika Nchi yetu.
Kwa maoni yangu mabadiliko ya kwanza huanzia kwa msimamizi anaetarajiwa kubeba mabadiliko hayo ambae ni Mgombea wa uraisi.
Raisi mtarajiwa ni lazima awe na maono, awe na vision na mission, awe independent thinker and dependable leader, hizi ni baadhi.
Lakini kwa Magufuli sizioni sifa hizi.
KWANINI;
Mheshimiwa huyu hadi leo hana vision yake yeye kama yeye ambayo tungeisikia na kui-vision katika kauli mbiu yake, (Ilani ya chama ni baadae).
Sana utamsikia,
"sitaawangusha ndugu zangu" NA "alimselema, alimselema.....".
Sifahamu hao "ndugu zangu" ni kina nani na hatawaangusha kwa lipi, na hiyo alimselema inatupeleka wapi?
Lakini pili, Magufuli hakuwahi kuwa chaguo la Kikwete katika Uraisi. Chaguo la Kikwete alikuwa ni Bernard Membe (Mdogo wake). Magufuli ilikuwa ni "BASI TU, HAKUNA NAMNA" Kwa maana hiyo na kwa kitendo cha Magufuli kutokuwa na campaign team na strategies na kumtegemea sana Kikwete kumtembeza kwenye kwenye hafla mbalimbali ili kumnadi, hakuashirii future nzuri kwa safari yake.
Ikumbukwe kuwa sio tu CCM imechokwa bali Hata Kikwete kachokwa vile vile.
Sasa huyu aliyechokwa ndiyo amnadi mbadala wake halafu utarajie ushindi wa kishindo!
Labda kwa "bao la mkono".
In short, Magufuli hakujiandaa kwa hili "Zali la Mentali".
He has to be quick in re-adjusting himself accordingly.