Foul
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 798
- 1,175
Tumia basi akili kidogo, sema sababu za kupigwa ban hapaAlipigwa marufulu kupanda ndege ya precission air huyo .Alishushwa kwenye ndege na polisi na kupigwa ban .Mtanzania wa kwanza toka Tanzania iwepo kushusha kwenye ndege na kupigwa ban kw ukorofi ndani ya ndege
Nyie ndo mnasema tuongee kiswahil na mkuu wenu haendi hata nje ya nchi kukwepa kuongea king'eng'e
Dr. Lwaitama alipigwa ban baada ya kukaa siti ambayo kwa maelezo yao anayekaa pale anapaswa kuongea Kingereza wakat yy Dr aligoma kutumia hyo lugha kwa madai kuwa yupo Tanzania na Kiswahil ndiyo lugha ya taifa,
Sasa nyie kila siku mnasema mabeberu mabeberu ila mnampinga tena Dr. Lwaitama kwa kupinga kutumia lugha ya kibeberu
Sent using Jamii Forums mobile app