Dr. Lwaitama: Sera pacha ya Demokrasia na Maendeleo

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
29,981
Reaction score
34,114
December 11, 2019
Dar-Es-Salaam, Tanzania

Mada : Sera pacha ya Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu

Dr. Azaveli Lwaitama akizungumza na wazee wa CHADEMA ameainisha jinsi sera pacha ya Demokrasia na Maendeleo inavyoshika kasi ushawishi miongoni mwa watu-huru.

Sera hii pacha ina kwenda sawasawa na maono ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO ( CHADEMA) ambayo tangu kuasisiwa kwake mwaka 1992 imesisitiza maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo shirikishi ya watu kupitia demokrasia.

Ambapo wananchi mmoja mmoja na kama vikundi hukubaliana kupitia ushawishi wa kidemokrasia maendeleo pacha ya vitu na maendeleo ya watu yanapatikana sawia.

Source: DARMPYA TV

Sera hii ya maendeleo na demokrasia ni tofauti na mtizamo wa chama kongwe ambacho awamu hii ya 5 imeamua kutosa mwananchi yaani watu wasipate maendeleo na wala hawatakiwi kuhoji vipi mnatuacha na kushikilia maendeleo ya vitu.

Chama kongwe CCM sasa kinaamini katika kuminya demokrasia, mawazo huru na ushirikishwaji watu ktk maamuzi ya mustakabali wa maisha yao.

Hapa ndipo penye tofauti kubwa kuelekea 2020 ambapo CHADEMA ina ushawishi mkubwa wa watu huru kupitia demokrasia kujiamulia maendeleo ya vitu sambamba na maendeleo ya watu.

Huku CCM wao wameamua kuwapa kikundi kidogo kusingizia maendeleo ya vitu yataletwa kwa kuwanyima watu uhuru wao wa kidemokrasia huku wakiwanyima maendeleo ya watu kitu kinachopelekea umasikini na ugumu wa maisha kushika kasi nchini Tanzania.
 
Mzee namkubali sana huyu, leo amepigilia misumari ya moto ndani ya vichwa vya "WANA LUMUMBA", ana mtazamo chanya juu ya uongozi na utawala bora katika taifa letu haijawahi kutokea.

Huku kwetu "BIMA YA AFYA" ni bora kuliko "NDEGE" (In Roma's Voice).
 
Bora angejikita tu kuwa independent speaker kuliko kujitia kwenye siasa; matendo ya viongozi wa CDM yatamuumbua tu.

Pamoja na mashiko ya hoja aliwaona hao watu anaowatetea kuwa wanasimamia kuwa huru jinsi walivyokuwa wanagombania kumshika mkono huyo mtu anaemwita mtawala.
 
Mwalimu Nyerere, anayeheshimiwa kama Baba wa Taifa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM anazungumzia mtazamo wake kuhusu umuhimu wa serikali kuwa na sera pacha ya Maendeleo ya watu na Maendeleo ya vitu bila kusahau demokrasia yaani Uhuru wa Watu.

Source: Watetezi TV
 
Bora angejikita tu kuwa independent speaker kuliko kujitia kwenye siasa; matendo ya viongozi wa CDM yatamuumbua tu.

Pamoja na mashiko ya hoja aliwaona hao watu anaowatetea kuwa wanasimamia kuwa huru jinsi walivyokuwa wanagombania kumshika mkono huyo mtu anaemwita mtawala.
Hajawatetea Chadema, hajakuambia ni mwanachama, altumia jukwaa la Chadema kuzungumza kwa sababu jukwaa la CCM haliruhusu hoja mbadala zaidi ya kuunga mkono na pongezi kwa mwenyekiti.
Hoja hii mwal. J K Nyerere aliwahi kusema enzi zake huu ya maendeleo ya watu na vitu viende sawia na uongozi bora.
 
The only logical explanation ujaiangalia video au umeangalia nusu. Vinginevyo humo ndani kaonyesha kadi yake ya CDM na katuambia tarehe aliyojiunga na sababu ambazo kama vile ni personal against Magu.

Lwaitama in my opinion angechukua njia ya wakosoaji wengine kama ‘Ulimwengu’ ambayo non partisan kwa umri wake kuliko kujiweka kwenye siasa za vyama especially akiwa hana nia ya uongozi kwa kauli yake.

Ni mwanazuoni mzuri kwa hoja za ‘polities’ of our day in Tanzanian context.

Ukimsikiliza hoja zake zimeenda shule kwenye hiyo video tu analeta maswali ya msingi sana watu kama kina Plato walikuwa wanauliza kuhusu umuhimu watu kuamua mipango yao ya maendeleo au watu wachache wapange; matter of fact ndio msingi mzima wa majadiliano kwenye kitabu chake cha ‘The Republic’. Sasa sijui kama nayeye kapitia maandishi yake au la maana kwenye hitimisho wanatofautiana.

Sina shaka Lwaitama has depth hila hili la siasa za kichama sioni kama ni maamuzi makini kwake, kwa sababu siasa zinataka unafiki.
 
Haka kazee kana sisimizi kichwani badala ya ubongo, huwa kanaongea pointless kila speech zake, ni sawa na yule mwenye midevu myeupeeee alioa juzi akiwa na muaka 75+ ametumia umri wake wioote kusoma shule
December 11, 2019
Dar-Es-Salaam, Tanzania

Mada : Sera pacha ya Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu

Dr. Azaveli Lwaitama akizungumza na wazee wa CHADEMA ameainisha jinsi sera pacha ya Demokrasia na Maendeleo inavyoshika kasi ushawishi miongoni mwa watu-huru.

Sera hii pacha ina kwenda sawasawa na maono ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO ( CHADEMA) ambayo tangu kuasisiwa kwake mwaka 1992 imesisitiza maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo shirikishi ya watu kupitia demokrasia.

Ambapo wananchi mmoja mmoja na kama vikundi hukubaliana kupitia ushawishi wa kidemokrasia maendeleo pacha ya vitu na maendeleo ya watu yanapatikana sawia.

Source: DARMPYA TV

Sera hii ya maendeleo na demokrasia ni tofauti na mtizamo wa chama kongwe ambacho awamu hii ya 5 imeamua kutosa mwananchi yaani watu wasipate maendeleo na wala hawatakiwi kuhoji vipi mnatuacha na kushikilia maendeleo ya vitu.

Chama kongwe CCM sasa kinaamini katika kuminya demokrasia, mawazo huru na ushirikishwaji watu ktk maamuzi ya mustakabali wa maisha yao.

Hapa ndipo penye tofauti kubwa kuelekea 2020 ambapo CHADEMA ina ushawishi mkubwa wa watu huru kupitia demokrasia kujiamulia maendeleo ya vitu sambamba na maendeleo ya watu.

Huku CCM wao wameamua kuwapa kikundi kidogo kusingizia maendeleo ya vitu yataletwa kwa kuwanyima watu uhuru wao wa kidemokrasia huku wakiwanyima maendeleo ya watu kitu kinachopelekea umasikini na ugumu wa maisha kushika kasi nchini Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We fala kabisa, bima ya afya si ukakate NHIF unataka serikali ikukatie bim
Mzee namkubali sana huyu, leo amepigilia misumari ya moto ndani ya vichwa vya "WANA LUMUMBA", ana mtazamo chanya juu ya uongozi na utawala bora katika taifa letu haijawahi kutokea.

Huku kwetu "BIMA YA AFYA" ni bora kuliko "NDEGE" (In Roma's Voice).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee Ndiye Dr.Lwaitama
Alipigwa marufulu kupanda ndege ya precission air huyo .Alishushwa kwenye ndege na polisi na kupigwa ban .Mtanzania wa kwanza toka Tanzania iwepo kushusha kwenye ndege na kupigwa ban kw ukorofi ndani ya ndege
 
Back
Top Bottom