Dr. Lwaitama apangua hoja za Prof. Kabudi na wengine wanaomshutumu Lissu

Lwaitama kwani hajui tatizo la Tundu ni yupo upande wa upinzani... unategemea nini? Na issue kuu anamgusa mkulu direct hiyo nayo ni shida
Hili ndiyo tatizo hasa,
Ukiwa upinzani unaonekana adui na mhaini,
Halafu watu wanajiita wacha Mungu wanaenda kwa manabii kuombewa,na viongozi wa dini wanawasifia,
Hakuna watu hovyo km hawa watu wa dini,matumbo yanafanya washindwe kemea uovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lwaitama ni nomaanachambua ka utani vilelkn anagonga pale paleee,,
Huyo mzee ni muasisi ktk Siasa hata wana fisiem wanamjua
Walimkataa kwa ukweli wake na ana msimamo huwa yupo wazi ktk jambo akiliona linaenda tofauti
Lkn mimi namkubali saana na yoyote mwenye kumkubali agonge
LIKE‍♂️

it is a "like" generating machine I like it ....stickvibration
 
Kuna ile clip anagojiwa na mabeberu aisee unacheka hadi mbavu zina uma
Yuko vizuri huyu. Huku Lissu, kati Lwaitama na kule Zitto mashambulizi ya pamoja ni lazima dikteta aweweseke na ile kauli yake Urais mgumu.

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Uvccm wao wanaamini kabisa kuwa Tanzania ni mali ya chama chao
Kwa hiyo unapendekeza, huku ukiwa na akili timamu, kuwa Dr Lwaitama hana haki ya kutoa maoni au una maana gani hasa? Tanzania ni yetu sote!

In God we trust
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo unapendekeza, huku ukiwa na akili timamu, kuwa Dr Lwaitama hana haki ya kutoa maoni au una maana gani hasa? Tanzania ni yetu sote!
Kwa akili yang timamu natimiza kuwa namuomba Dr Lwaitama sasa apumzike mana midundo ya asaiv haiwez nw ni speed kubwa sana so maoni yake tumeyatumia sana kipind cha nyuma inatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom