Dr. Lwaitama apangua hoja za Prof. Kabudi na wengine wanaomshutumu Lissu

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,407
54,886
Dr.Lwaitama ameshauri Tundu Lissu ajibiwe kwa hoja badala ya kufokewa na kushutumiwa.

Na ametoa mfano wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambaye aliikosoa serekali ya Raisi Mwinyi.

Dr.Lwaitama anahoji kama Mwalimu Nyerere alikosa uzalendo alipokosoa serekali ya awamu ya pili.

 
Lwaitama ni nomaanachambua ka utani vilelkn anagonga pale paleee,,
Huyo mzee ni muasisi ktk Siasa hata wana fisiem wanamjua
Walimkataa kwa ukweli wake na ana msimamo huwa yupo wazi ktk jambo akiliona linaenda tofauti
Lkn mimi namkubali saana na yoyote mwenye kumkubali agonge
LIKE‍♂️
 
Tatizo serikali ya CCM ingependa kuona vyombo vya nje vinawanyima na kuto wahoji watanzania. Wamefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari vya ndani kwa kutangaza habari wanazo zitaka wao masikioni mwao .Sasa Kwa lugha rahisi wanataka kuvuka mipaka na kwenda nje zaidi kudhibiti vyombo vya nje vya kimataifa. Ni kawaida ya dikteta yoyote duniani kujitanua . jiwe anatamani kuitawala dunia kama hitler, ila anashindwa kauchumi kake fake.
 
Kati ya viongozi ambao nawaheshimu sana ambao wapo nje ya ajira ya serikali ni huyu mzee lwaitama
..Dr.Lwaitama ameshauri Tundu Lissu ajibiwe kwa hoja badala ya kufokewa na kushutumiwa.


..Na ametoa mfano wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambaye aliikosoa serekali ya Raisi Mwinyi.

.Dr.Lwaitama anahoji kama Mwalimu Nyerere alikosa uzalendo alipokosoa serekali ya awamu ya pili.




In God we trust
 
..Dr.Lwaitama ameshauri Tundu Lissu ajibiwe kwa hoja badala ya kufokewa na kushutumiwa.


..Na ametoa mfano wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambaye aliikosoa serekali ya Raisi Mwinyi.

.Dr.Lwaitama anahoji kama Mwalimu Nyerere alikosa uzalendo alipokosoa serekali ya awamu ya pili.



Dah nimeshiba kabisa hoja za lwaitama zimeshibaaaa
 
Back
Top Bottom