Dr. Lucas Webiro kuhutubia Bunda Mjini leo

keteka

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
149
Reaction score
52
DKT. LUCAS WEBIRO WA CHADEMA ANZA ZIARA YA KICHAMA BUNDA MJINI LEO.

Madhumuni ziara ya Dkt.Lucas Webiro wa CHADEMA yatakuwa ni kuwapatia nguvu wananchi na shauku ya kushiriki katika kupigania uchumi na maisha ya kila siku pamoja siasa ya umma.

"CHADEMA ni Msingi" haina lengo la kuwaacha Wanabunda mbali, bali inafikiria kujenga uwezo wa chama kutoka chini hadi ngazi ya juu kwenye nafasi ya siasa,uchumi, afya na elimu ya kujitegemea na kuwatangazia wananchi kupitia nguvu ya uuma, shughuli na mipango itayotekelezeka kwa uuma, ili kuleta mafanikio makubwa katika maisha ya watu wa Bunda, kuanzia ngazi ya Shina hadi Taifa.

Naomba ushirikiano wenu katika ziara hii ya Mh.Dkt. Lucas Webiro; Kiongozi wa Kanda ya ziwa Mashariki-CHADEMA ,Mlezi wa Jimbo la Bunda Mjini,Mwanaharakati wa CHADEMA,Kada wa CHADEMA na ni Jembe la Bunda Mjini ,Songambele Kamanda Uhuru unakuja kwa Wanabunda, Mungu Tusaidie.

=== Updates za mkutano =====

KAMANDA MH.DKT. LUCAS WEBIRO ATETA NA WAZEE WA BUNDA MJINI LEO
Kwa sasa, Bunda Mjini ipo chini sana kwa sababu ya kuwa mbali sana kijiografia, kutoka Makao Makuu ya Mkoa Mara na ukosefu wa uanzishaji washughuli za maendeleo kati na baina ya wahusika na hasa wakazi Jimbo la Bunda Mjini.

Ipo haja ya kuiwezesha Bunda Mjini kupaa juu tena kama ilivyo kuwa hapo awali pengine hata zaidi. Hakuna watu wengine watakaochukua jukumu la kuiendeleza Bunda Mjini bali Wanabunda wenyewe, ambao wanapaswa kujitoa katika kuhamasisha,kukataa kuonewa na kudaganywa kila siku bila kuona mabadiliko ya kweli, kuonesha utashi wao kisiasa na kurejesha hali yao ya kujiamini ambayo kwa sasa imefifia sana.

attachment.php
 
dkt. Lucas webiro wa chadema anza ziara ya kichama bunda mjini leo.

Madhumuni ziara ya dkt.lucas webiro wa chadema yatakuwa ni kuwapatia nguvu wananchi na shauku ya kushiriki katika kupigania uchumi na maisha ya kila siku pamoja siasa ya umma.

"chadema ni msingi" haina lengo la kuwaacha wanabunda mbali, bali inafikiria kujenga uwezo wa chama kutoka chini hadi ngazi ya juu kwenye nafasi ya siasa,uchumi, afya na elimu ya kujitegemea na kuwatangazia wananchi kupitia nguvu ya uuma, shughuli na mipango itayotekelezeka kwa uuma, ili kuleta mafanikio makubwa katika maisha ya watu wa bunda, kuanzia ngazi ya shina hadi taifa.

Naomba ushirikiano wenu katika ziara hii ya mh.dkt. Lucas webiro; kiongozi wa kanda ya ziwa mashariki-chadema ,mlezi wa jimbo la bunda mjini,mwanaharakati wa chadema,kada wa chadema na ni jembe la bunda mjini ,songambele kamanda uhuru unakuja kwa wanabunda, mungu tusaidie.

hold on makamanda for the change we need these are the efforts we need tput
 
DKT. LUCAS WEBIRO WA CHADEMA ANZA ZIARA YA KICHAMA BUNDA MJINI LEO.

Madhumuni ziara ya Dkt.Lucas Webiro wa CHADEMA yatakuwa ni kuwapatia nguvu wananchi na shauku ya kushiriki katika kupigania uchumi na maisha ya kila siku pamoja siasa ya umma.

"CHADEMA ni Msingi" haina lengo la kuwaacha Wanabunda mbali, bali inafikiria kujenga uwezo wa chama kutoka chini hadi ngazi ya juu kwenye nafasi ya siasa,uchumi, afya na elimu ya kujitegemea na kuwatangazia wananchi kupitia nguvu ya uuma, shughuli na mipango itayotekelezeka kwa uuma, ili kuleta mafanikio makubwa katika maisha ya watu wa Bunda, kuanzia ngazi ya Shina hadi Taifa.

Naomba ushirikiano wenu katika ziara hii ya Mh.Dkt. Lucas Webiro; Kiongozi wa Kanda ya ziwa Mashariki-CHADEMA ,Mlezi wa Jimbo la Bunda Mjini,Mwanaharakati wa CHADEMA,Kada wa CHADEMA na ni Jembe la Bunda Mjini ,Songambele Kamanda Uhuru unakuja kwa Wanabunda, Mungu Tusaidie.

Eeee bana nimemisi a very good moment ya kujumuika na wapenda mabadiliko TZ. But mzee don't forget to keep us updated of what wanna be happening over there and hope Dr. will be addressing direct from old Bunda bus stand, I know the area and I do pressume the venue will be packed and very hot as well. Mzee wish all da best and please God bless you all.
 
Kamanda Songambele kazi ndio imeanza hapa Jimboni Bunda Mjini Wasira amechoka Kesha kabidhi Shughuli kwa Chadema Matatizo ya Bunda yanahitaji Majibu ya haraka kazi kwenu chadema vema.
 
Attachments

  • Webiro.JPG
    Webiro.JPG
    31.3 KB · Views: 215
DKT. LUCAS WEBIRO WA CHADEMA ANZA ZIARA YA KICHAMA BUNDA MJINI LEO.

Madhumuni ziara ya Dkt.Lucas Webiro wa CHADEMA yatakuwa ni kuwapatia nguvu wananchi na shauku ya kushiriki katika kupigania uchumi na maisha ya kila siku pamoja siasa ya umma.

"CHADEMA ni Msingi" haina lengo la kuwaacha Wanabunda mbali, bali inafikiria kujenga uwezo wa chama kutoka chini hadi ngazi ya juu kwenye nafasi ya siasa,uchumi, afya na elimu ya kujitegemea na kuwatangazia wananchi kupitia nguvu ya uuma, shughuli na mipango itayotekelezeka kwa uuma, ili kuleta mafanikio makubwa katika maisha ya watu wa Bunda, kuanzia ngazi ya Shina hadi Taifa.

Naomba ushirikiano wenu katika ziara hii ya Mh.Dkt. Lucas Webiro; Kiongozi wa Kanda ya ziwa Mashariki-CHADEMA ,Mlezi wa Jimbo la Bunda Mjini,Mwanaharakati wa CHADEMA,Kada wa CHADEMA na ni Jembe la Bunda Mjini ,Songambele Kamanda Uhuru unakuja kwa Wanabunda, Mungu Tusaidie.
hana jipyaa!mbio za ubunge 2015 anaanza leo? hajiamini na porojo nyingi!!!!!!!!!!
by the way bunda ndio wilaya maskini tanzania in term of per capital income
huyo aendelee tu kujichoshaaaa ikifika 2015 atakuwa hoi na huo ujembe wake

Hatimaye mwisho wa Mhe.Wassira kwenye siasa za Tanzania umekaribia.Mungu akuongezee ujasiri Dr.Webiro kwani matumaini ya wananchi yamehamia kwa CHADEMA jambo ambalo Wassira linampa tabu!
 
KAMANDA MH.DKT. LUCAS WEBIRO ATETA NA WAZEE WA BUNDA MJINI LEO
Kwa sasa, Bunda Mjini ipo chini sana kwa sababu ya kuwa mbali sana kijiografia, kutoka Makao Makuu ya Mkoa Mara na ukosefu wa uanzishaji washughuli za maendeleo kati na baina ya wahusika na hasa wakazi Jimbo la Bunda Mjini.
Ipo haja ya kuiwezesha Bunda Mjini kupaa juu tena kama ilivyo kuwa hapo awali pengine hata zaidi. Hakuna watu wengine watakaochukua jukumu la kuiendeleza Bunda Mjini bali Wanabunda wenyewe, ambao wanapaswa kujitoa katika kuhamasisha,kukataa kuonewa na kudaganywa kila siku bila kuona mabadiliko ya kweli, kuonesha utashi wao kisiasa na kurejesha hali yao ya kujiamini ambayo kwa sasa imefifia sana.

attachment.php
 
Attachments

  • Webiro (4).JPG
    Webiro (4).JPG
    65.2 KB · Views: 703
Piga kotekote.. piga tu mpaka mwisho.. maana mchana U-karibu... Piga Kwa Kuanzia uvunguni hadi Dalini... Piga na Kanyaga twende... CCM na Mkewe CUF wamekalia Udini CHADEMA twanga SERA..Kutakucha muda si Mrefu..
 
Back
Top Bottom