chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,011
safi kamanda panapo ulazima ongeza tupicha maana wengine tunazichukua za kumbukumbu kwa ajiri ya wanetu baadae
Mgombea mwenyewe hapo awali alikuwa mkuu ya Misenye Kagera kabla ya kutemwa dakika za mwisho na mabadiliko ya wakuu wa wilaya yaliyofanywa na JKMgombea wa CDM kuna tetesi kuwa 2010 alihongwa na wa CCM
Jimbo la Bunda lipo chini ya CCM?
Sidhani kama Tyson anayo afya nzuri ya kumfikisha 2015, na kama akifika, basi atakuwa amelazwa ICU ya LugaloLipo chini ya Rais Mtarajiwa wa 2015 Mh. Stephen Wassira
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums