Dr Leopold Munyakazi poisoned

Nothing intelligent to say ila ukabila tuu na akili yako ya caveman
Did i mention any tribe, ?, pole, jivue chuki za kikabila ili uwe na mawazo huru, emancipate yourself from mental slavery
 
nothn to say,inatia huruma fikiria huyu mzee km ni mzazi wako.kosa kubwa ni yeye kuwa critic wa regime na kuandika article korofi kumshutumu rais basi,hayo mengine sijui alishiriki genocide ni blah blah tu.

by the way,hawa intellectual wengi walipofika nje na kupewa ukimbizi wote walikimbilia kufungua blogu na kuanza kuandika na kumshutumu PK,SA NYINGINE NI VIZURI KUKAA KIMYA TU.

maana PK kawashughulikia kweli kweli,wote wamekimbia blogu zao
 
oops! hebu jiulizeni, na mikelele yenu yooote, leo hii Interahamwe nyingine mbili zimetimuliwa kutoka uholanzi, tabu kwelikweli! na bado...


Wafipa wengi ukitrace yasemekana tuna originate From Tuts but I hate Tutsi to the ground yana roho mbaya ataungeyafadhili hayana shukrani!
 
watusi wameamua kuwafunga wasomi wote wa kihutu.

nashauri kama kuna wengine wakae kwa tahadhari sana
 
Ahahhaa, mzee wa sumu unataka kutuambia nyie watusi ndo mliuwawa tu? mbona nasikia ilikuwa piga nikupige? Nyie mnatakiwa kuendelea kutawaliwa tu.
 
Hoja ya wasomi kuuawa mbona dhaifu sana mngejikita kueleza kama ni kweli hao wasomi hawana makosa kuliko kuona kwamba tatizo ni usomi wao pekee.
 
The sun has arisen for the Hutus and Tutsi herein this forum .... I'll be back to see the two arch rivals
 
Mkuu, heshima kwako. Ume narrate vizuri sana na huo ndiyo ukweli. Serikali ya Rwanda haina dhamira ya kujenga stability ndani ya nchi yao, either kwa mbinu au kwa kujawa na hofu.
Usalama katika nchi ya Rwanda kwa hivi Sasa ni kama chungu kilichoinjikwa kwenye jiko lenye mafiga mawili.
Ukifuatilia utaona Watusi walio katika good time ni zile Jamii zilizokua zikiishi nje ya Rwanda kabla na baada ya mauaji ya kimbari, lakini majority ya waliokua wakiishi Rwanda nayo wamewekwa pembeni na wanakua treated kama wahutu tu. Maana wao hawana shida na wahutu kwa kuwa waliishi pamoja kabla ya uchonganishi uliozaa mauaji ya kimbari.
Strategy ya Ku eliminate intellectuals wa kihutu ni mbovu kabisa, maana ni afadhali ya hawa wana uwezo w kufanya reasoning, lakini wakilianzisha wale waliopo msituni, hali itakua mbaya, watu wataliwa nyama kama waluvyofanya wale jamaa wa anti Baraka.
 
What a joke, watakutawala wewe.
Tanzania ndo supper power east and central Africa. Ni wajibu wetu kuleta amani Rwanda. Kama tulivyofanya Uganda enzi za idd amin. Na kama tunavyowasaidia Congo.
 
Mzee wa sumuuuuuuu, tema sumu tema sumuuuu, ndo naye mumemuua? au mnamtafuta mumuue?
OMG! another one from Canada... who is the next Genocider?
Mzee wa sumuuuuuuu, tema sumu tema sumuuuu, ndo naye mumemuua? au mnamtafuta mumuue?
 
Sasahivi wanamfukuzia padri aliyeamua kugombea uraisi Rwanda wamuue. Nimeona leo kwenye mtandao wao wamemuonesha padri amelala kwenye bench airport Kenya.
 
I do appreciate many things done by Paul Kagame....coz alipotoka c haba till whre he is now...amefanya vityu mob na vzuri na ninajivunia kuresemble same tribe....bt a matter of fakt Hutu didnt good things for tutsi back of the days hasa ukipotezewa na bloodly relative....Inauma saana kwa kilichotokea many of us we judge things wrong...like anybody kuna hisia haziwez kutoka kirahisi guys....Si wahutu tu waliouawa chini ya uongozi wa PK mfano.Kalegeya is one who died several yrs ago...Wanyarwanda waachiwe nchi yao si France,America or elseone ataeza fanya chochote kwa PK.....In love with Rwanda....Rwanda is moving on fastly compared to our closely country sides....
[HASHTAG]#OnceRwandanAlwaysRwandese[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…