Dr. Kitine: Ni Ndoto Maalim Seif Kuwa Rais wa Zanzibar

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,747
14.jpg

Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama , Dr. Hassy Kitine ameweka wazi kuwa ni ndoto kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kuiongoza Zanzibar.

"Watu wengi wanashabikia mgogoro wa Zanzibar bila kujua kiini chake, ili uzungumzie vizuri Zanzibar na harakati zake za kisiasa ni lazima uifahamu historia yake. Wenzetu wamepata uhuru wao kwa kumwaga damu, tofauti na sisi huku, ambako Mwalimu Nyerere alitumia meza ya mazungumzo kusaka uhuru, kwa wenzetu siyo" anasema Dr. Kitine.

"Bahati mbaya sana zipo siri zunazowagusa baadhi ya wataka urais wa sasa moja kwa moja, ambazo zinauhusiano mkubwa na Mapinduzi ya Zanzibar" Anaendelea kutanabahisha.

" Historia ya Zanzibar inawahusisha Waarabu(mabwana) na waswahili(watwana), hali hii iliendelea hadi pale Abeid Karume alipochukua uongozi wa visiwa hivyo na kuruhusu waswahili kuoana na waarabu ili kuondoa tofauti za kibwana na kitwana. Wapo watu wa ndni na nje ya nchi wanatamani mfumo wa kitwana na kibwana urudi visiwani humo na ndiyo maana wanahangaika huku na kule kutafuta uongozi, jambo ambalo haliwezekani kwa sababu nchi hiyo haikukomholewa kwa makaratasi" Dr. Kitine aliendelea kisema alipohojiwa na Rais nguvu ya Hoja.
"Hivi hamjiulizi ni kwanini Unguja hakuna shida, badala yake Pemba ndio kuonekane kugumu. Kuna historia nzito inayohusu usultani hapo Katikati, ambayo wengo hamuijui na hata wanaoijua jawapendi kuizungumzia" alisema.

"KITENDO CHA KUFUTA HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAKIKUBALIKI NA HAKUNA MTU MAKINI ATAKAYEKUBALI KUFANYA HIVYO" Dr. Kitine alimazia.
 
Usiwajaze wenzako pumba jaribu kuwa mkweli kama ni historia hio Seif asingali pendwa Zanzibar na asingali pata kitu kwa wananchi wa Zanzibar.

Ccm kikuru bila kuingia jeshi la JWTZ basi haishindi na hizo siasa za majungu na unaguzi wananchi wa Zanzibar wameshazishtukizia rabda ndugu zetu wa huko bado hawaja zifahamu.
 
Kwa maana hiyo watako utaka uongozi wa Zanzibar na wao wafanye mapinduzi ama ??
Mkuu hawa wanasiasa wetu ni watu wenye mawazo ya kijinga sana. Sasa kama ni hivyo kwanini wanahangaisha watu kufanya uchaguzi. Wanapoteza muda na fedha nyingi. Si wangesema tu kwa sababu za kihistoria Zanzibar hakuna uchaguzi wa rais bali atakuwa anateuliwa. Mawazo mengine ni ya kijinga mpaka unafikiri kama mtu aliyewahi kuwa mkuu wa usalama wa taifa anaweza kuwa na ufinyu wa mawazo namna hiyo basi tulikuwa na kanyaboya
 
14.jpg

Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama , Dr. Hassy Kitine ameweka wazi kuwa ni ndoto kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kuiongoza Zanzibar.

"Watu wengi wanashabikia mgogoro wa Zanzibar bila kujua kiini chake, ili uzungumzie vizuri Zanzibar na harakati zake za kisiasa ni lazima uifahamu historia yake. Wenzetu wamepata uhuru wao kwa kumwaga damu, tofauti na sisi huku, ambako Mwalimu Nyerere alitumia meza ya mazungumzo kusaka uhuru, kwa wenzetu siyo" anasema Dr. Kitine.

"Bahati mbaya sana zipo siri zunazowagusa baadhi ya wataka urais wa sasa moja kwa moja, ambazo zinauhusiano mkubwa na Mapinduzi ya Zanzibar" Anaendelea kutanabahisha.

" Historia ya Zanzibar inawahusisha Waarabu(mabwana) na waswahili(watwana), hali hii iliendelea hadi pale Abeid Karume alipochukua uongozi wa visiwa hivyo na kuruhusu waswahili kuoana na waarabu ili kuondoa tofauti za kibwana na kitwana. Wapo watu wa ndni na nje ya nchi wanatamani mfumo wa kitwana na kibwana urudi visiwani humo na ndiyo maana wanahangaika huku na kule kutafuta uongozi, jambo ambalo haliwezekani kwa sababu nchi hiyo haikukomholewa kwa makaratasi" Dr. Kitine aliendelea kisema alipohojiwa na Rais nguvu ya Hoja.
"Hivi hamjiulizi ni kwanini Unguja hakuna shida, badala yake Pemba ndio kuonekane kugumu. Kuna historia nzito inayohusu usultani hapo Katikati, ambayo wengo hamuijui na hata wanaoijua jawapendi kuizungumzia" alisema.

"KITENDO CHA KUFUTA HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAKIKUBALIKI NA HAKUNA MTU MAKINI ATAKAYEKUBALI KUFANYA HIVYO" Dr. Kitine alimazia.

hii kitu inaibua maswali kibao mengine nahisi majibu anayo mzungumzaji huyo DR

mfano, Kazi ya ZEC ni kumfanya MTWANA aendelee kutawala kwa udanganyifu da democrasia?Kazi ya jeshi ni kuzuia BWANA asimtawale mtwana kwa njia ya mapinduzi?

kila ninaporudia yanaibuka maswali lukuki juu ya mtanzania zanzibar halisi ni nani?
 
14.jpg

Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama , Dr. Hassy Kitine ameweka wazi kuwa ni ndoto kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kuiongoza Zanzibar.

"Watu wengi wanashabikia mgogoro wa Zanzibar bila kujua kiini chake, ili uzungumzie vizuri Zanzibar na harakati zake za kisiasa ni lazima uifahamu historia yake. Wenzetu wamepata uhuru wao kwa kumwaga damu, tofauti na sisi huku, ambako Mwalimu Nyerere alitumia meza ya mazungumzo kusaka uhuru, kwa wenzetu siyo" anasema Dr. Kitine.

"Bahati mbaya sana zipo siri zunazowagusa baadhi ya wataka urais wa sasa moja kwa moja, ambazo zinauhusiano mkubwa na Mapinduzi ya Zanzibar" Anaendelea kutanabahisha.

" Historia ya Zanzibar inawahusisha Waarabu(mabwana) na waswahili(watwana), hali hii iliendelea hadi pale Abeid Karume alipochukua uongozi wa visiwa hivyo na kuruhusu waswahili kuoana na waarabu ili kuondoa tofauti za kibwana na kitwana. Wapo watu wa ndni na nje ya nchi wanatamani mfumo wa kitwana na kibwana urudi visiwani humo na ndiyo maana wanahangaika huku na kule kutafuta uongozi, jambo ambalo haliwezekani kwa sababu nchi hiyo haikukomholewa kwa makaratasi" Dr. Kitine aliendelea kisema alipohojiwa na Rais nguvu ya Hoja.
"Hivi hamjiulizi ni kwanini Unguja hakuna shida, badala yake Pemba ndio kuonekane kugumu. Kuna historia nzito inayohusu usultani hapo Katikati, ambayo wengo hamuijui na hata wanaoijua jawapendi kuizungumzia" alisema.

"KITENDO CHA KUFUTA HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR HAKIKUBALIKI NA HAKUNA MTU MAKINI ATAKAYEKUBALI KUFANYA HIVYO" Dr. Kitine alimazia.
Watu wamekuwa wakielezwa hili mtandaoini , lakini hawalielewi.
Hakuna kitu kama free democracy!!!

Ni afadhali nguli huyu wa usalama amelieleza wai ili wanaodai kitu impossible, wajijue wanpolalia.
 
Mkuu hawa wanasiasa wetu ni watu wenye mawazo ya kijinga sana. Sasa kama ni hivyo kwanini wanahangaisha watu kufanya uchaguzi. Wanapoteza muda na fedha nyingi. Si wangesema tu kwa sababu za kihistoria Zanzibar hakuna uchaguzi wa rais bali atakuwa anateuliwa. Mawazo mengine ni ya kijinga mpaka unafikiri kama mtu aliyewahi kuwa mkuu wa usalama wa taifa anaweza kuwa na ufinyu wa mawazo namna hiyo basi tulikuwa na kanyaboya
Sasa kama huyo mzee ni top kabisa wa usalama ndie anasema hivyo itakuaje kwa raisi wa Muungano ama raisi wa Zanzibar ?? Tatizo hatutaki kwenda na muda sawa walifanikiwa kuyalinda hayo mapinduzi kwa mabavu kwa miaka takribani hamsini ,mambo yanabadilika na huwezi kuendelea kutumia sababu ya eti Zanzibar haikupatikana kwa vijikaratasi ,waamue moja ama watumie ubabe kuifanya Zanzibar kama moja ya mikoa ya Tanzania ,au wawape mamlaka yao kamili ,vinginevyo ni swala la muda tu litawatokea puani
 
Back
Top Bottom