Dr. Kitila Mkumbo ni Mfano wakuigwa kwa wanasiasa wote wanaojiamini na Kujisimamia

Utakua ulimpa 0 sasa umenogewa unajaribu kumtafuta kiujanja. Kwani hamkupeana # za simu mpaka ujitangaze humu ndani?
 
Utakua ulimpa 0 sasa umenogewa unajaribu kumtafuta kiujanja. Kwani hamkupeana # za simu mpaka ujitangaze humu ndani?

we utakuwa mfuasi wa zombie lema ndo maana unawaza kugongwa t.go tu kama huyo lema mwenyewe so huna jipya.......
 
Kilita Mkumbo ni board member wa Chama cha KIHA, ACT ambacho abakorakamo na wahuni wenzie walikuja CCM tukawatimua
 
Last edited by a moderator:
Nadhani alifanya vema kujiweka wazi kwa kile alichokiamini na ambacho ni sahihi kwa demokrasia ya kweli hata kama ataonekana kwa sura ya usaliti kwa upande wa pili. Ni shujaa mwenye mtazamo thabiti ambao matokeo ya maono kama haya huonekana baadaye sana kwa watu wanaohukumu harakaharaka tu.
 
Hivi jaman ni kweli yule mbunge wa hip hop city aliliwa,,,,,,,,.wenye video yake aiweke basi manake hawa cdm kwa style hii wataharibu nchi.
 
nipo na mwanangu tunapitia habari kwenye jukwaa letu jf,ananiuliza aliyesema ulimpa O na tigo ndio nn,,,so guys remember everything you say here will be used by our generazation sometime in future
 
nadhani alifanya vema kujiweka wazi kwa kile alichokiamini na ambacho ni sahihi kwa demokrasia ya kweli hata kama ataonekana kwa sura ya usaliti kwa upande wa pili. Ni shujaa mwenye mtazamo thabiti ambao matokeo ya maono kama haya huonekana baadaye sana kwa watu wanaohukumu harakaharaka tu.
alijiweka wazi wapi??????????????
Kwa kutumia codes?????
 
Kitila aliyefukuzwa chadema?
The rise and fall and disappearance of Kitila a big punch to his personality!
 
Back
Top Bottom