Nashukuru bwana Kitila hakusema uchaguzi mdogo kijijini kwao walipozalowa wazazi wake pia ulisimamiwa na Mwigulu na yeye alipeleka magari, pesa, na kundi maalum la vijana kufanya fujo halafu matokeo anayajua mwenyewe.
Haya maneno tu na kwenye khanga yapo tatizo lenu la bavicha fikra lakini hoja tatizo.Mwigulu Nchemba ni mchumi daraja la kwanza jamani!
Record zake iko hivi:
Matusi = A+
Busara = 0-
Ujambazi = A
Uzinzi = A
Hekima = 0-
Ugaidi = A+
Uwongo = A+
Ilikuwa lazima apate daraja la juu sana
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Bado tutaona mengi kabla ya 2015
Mwigulu Nchemba ni mchumi daraja la kwanza jamani!
Record zake iko hivi:
Matusi = A+
Busara = 0-
Ujambazi = A
Uzinzi = A
Hekima = 0-
Ugaidi = A+
Uwongo = A+
Ilikuwa lazima apate daraja la juu sana
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mwigulu hachafuki hata mkijikusanya na kutumia matope ya aina yoyote.
CHADEMA mlikuwa mmezoea vya kunyonga kwa sasa hali ya kisiasa ndani ya CCM imebadilika na kwa sasa tunawaletea vya kuchinja na kama mlivyo weupe kihoja, vimewashinda.
CHADEMA hawana hoja tena mezani kwa sababu ngoma ya hoja ya ufisadi mlio wake wananchi wameuchoka kuusikia ikichukuliwa kuwa ndani ya CHADEMA kuna ufisadi wa kila siku unaoharalishwa kupitia CHADEMA Central Commettee.
Baada ya kuwajibu hoja zao kwa sasa wanakuja na style ya political cherry picking. Huyu Dr. Kitila hata watu wa kijijini kwake hawakumpa kura halafu ndiyo anapata moral authority ya kuisemea Tanzania. He's making hullabaloo for nothing.
Dr. Kitila. Welcomme to ground zero.