Dr Slaa anakiwanda cha uongo
Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake
Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo
Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae
kwani alihojiwa na Dr. Slaa au kamati?
Dr. Slaa ni msemaji tu, halafu aliyekiripotiwa zitto kukiri kuufahamu ule waraka ni Samson Mwigamba, siyo Dr. Kitila Mkumbo.
It seems amechanganyikiwa sana.
Kisaikolojia anateseka sana.
Kitila amruka Slaa
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Dk Kitila Mkumbo amesema kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Wilbrod Slaa kuwa alikiri kwamba Zitto alikuwa akiujua waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013, ni za kutunga.
Juzi, wakati akieleza uamuzi wa kikao cha Kamati Kuu kuwafukuza uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na Dk Kitila, Dk Slaa alisema wakati akihojiwa na Kamati Kuu, Dk Kitila alisema Zitto alikuwa akiujua waraka huo.
"Siyo kweli. Hata siku moja sijawahi kukiri kwamba Zitto alikuwa akiufahamu waraka, kilichosemwa na Dk Slaa ni uongo."
Mwigamba afafanua
Mwigamba alisema hakuhojiwa na Kamati Kuu kwa sababu yeye ni Msabato na Siku ya Sabato, hairuhusiwi kufanya jambo lolote zaidi ya kumwomba Mungu. "Waliniita Ijumaa (Januari 3) ili nihojiwe lakini mpaka saa 12 jioni sikuwa nimehojiwa na niliwaeleza kuwa jua likizama sitakubali kuhojiwa kwa sababu itakuwa imeanza Siku ya Sabato," alisema.
Alisema kikao cha Kamati Kuu kiliendelea Januari 4, mwaka huu, pia hakuweza kwenda kuhojiwa kwa sababu ilikuwa Sabato, pia alikuwa kanisani, "Niliwaambia kuwa nipo tayari kuhojiwa Jumapili, hawakunijulisha kama wameridhia."
Dr Slaa anakiwanda cha uongo
Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake
Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo
Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae
Nani kaisifia CCM?naichukia sana CCM na bila shaka nilianza kuichukia CCM ata kabla hujajua siasa ni nini LAKINI pamoja na chuki yangu hiyo lakini nautambua ukweli mchungu kuwa hii CCM Mbovu bado ni bora maradufu kuliko Chadema ya Mbowe na Slaa.Na uchaguzi wa kutoka kwenye "kibovu" kwenda kwenye "kibovu zaidi" sio uchaguzi wa mtu mwenye akili timamu.
Chadema ilikuwa na nafasi ya kujijenga kuwa tayari kutawala lakini ndio kwanza ipo busy kujidhatiti kwenye ubovu,tutaisaidiaje sasa?Tanzania itakuwa hovyo zaidi chini ya hii Chadema ya Mbowe/Slaa/Lema/Sugu/Msigwa kuliko ilivyo chini ya CCM ya Kikwete/Sitta/Membe/Mwakyembe/Magufuli.
Una uhakika kuwa Dr. Kitila alisema ukweli?
Tunaomba namba ta kadi yako na tawi lako na jina la mwenyekiti wa tawi lako ndiyo tuthibitishe kuwa wewe kweli ni mwanachadema, vinginevyo wewe ndiyo tuachie chama chetu.
Mhadhiri wa Chuo kikuu na Mjumbe wa Kamati Kuu leo amekuwa sisimizi?
Gongo mbaya sana ndo nimeanza kuelewa.
Haya wewe Tembo unanafasi gani chadema na Tanzania?
Dr Slaa anakiwanda cha uongo
Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake
Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo
Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae
Huyu padri analaana uongo yeye,uzinzi yeye halafu eti awe Rais! Labda raisi wa JF.
Sent from my Tab-G777 using Tapatalk
Huyu padri analaana uongo yeye,uzinzi yeye halafu eti awe Rais! Labda raisi wa JF.
Sent from my Tab-G777 using Tapatalk
Nani kaisifia CCM?naichukia sana CCM na bila shaka nilianza kuichukia CCM ata kabla hujajua siasa ni nini LAKINI pamoja na chuki yangu hiyo lakini nautambua ukweli mchungu kuwa hii CCM Mbovu bado ni bora maradufu kuliko Chadema ya Mbowe na Slaa.Na uchaguzi wa kutoka kwenye "kibovu" kwenda kwenye "kibovu zaidi" sio uchaguzi wa mtu mwenye akili timamu.
Chadema ilikuwa na nafasi ya kujijenga kuwa tayari kutawala lakini ndio kwanza ipo busy kujidhatiti kwenye ubovu,tutaisaidiaje sasa?Tanzania itakuwa hovyo zaidi chini ya hii Chadema ya Mbowe/Slaa/Lema/Sugu/Msigwa kuliko ilivyo chini ya CCM ya Kikwete/Sitta/Membe/Mwakyembe/Magufuli.
Sio kwamba wote wanaomtetea Zitto wako CCM!! Sema tu mmesha karirishwa kwamba mtu akipinga mawazo ya Mbowe na Slaa nyie mnasema anatumika CCM. Sis wengine tunamtetea Zitto b'se hatuoni kosa kubwa la Zitto kupelekea yeye kufukuzwa! Hawa viongoz wetu wa juu CDM wanamgogoro wao tu binafsi; Ilikua ni suala kutatua migogoro ya kwa njia ya mazungumzo, sio kupakaziana uongo na kufukuzana uanachama! Hawa CCM nao kumtetea Zitto ni kutaka kuchochea tu mgogoro ndan ya CDM, japo WANACHADEMA hatulitambui hilo, leo hii wampende Zitto kwa lipi? Tope la ufisad aliloipaka CCM litafutika lini?!! Ndugu wana CDM let us think beyond...!
Hili jambo linanikera hata mimi. Sijawahi kuwa mwanachama wa ccm wala CDM, bali napenda sana mabadiliko. Simjui Zitto, wala Mbowe wala yoyote. Na isitoshe siishi Tanzania na sitegemei ccm ili kuishi,nashangazwa sana na ukionyesha mtizamo tofauti unapewa chama hapohapo kuwa CCM, khaaa! Binafsi naichukia sana ccm na nikipewa uanachama hata wa jukwaani huwa inanikera. Wana CDM heshimuni mawazo ya wengine si kweli kwamba sote ni ccm. Nalisema hili kwa dhati kabisa ya moyo wangu. Hao ccm wanaomsapoti zitto bila shaka wana ajenda yao. Ila binafsi sina agenda yyte ila napenda kuona demokrasia ya kweli CDM isiwe copy & paste ya CCM
Kwa harakaharaka kundi linalomwona zitto kama msarit asilimia 90 lazima watokee kanda ya kaskazin na hata ukifuatia kwa makin elimu Zao ni std 7 mpaka kidato 6 kama hukubalian na mm una matatizo
Hapa tunapaswa kukiri wote kama wana familia ya CHADEMA kuwa tumeshindwa wote ktk vita hii......nitafafanua. Ktk kila ugomvi wa kifamilia Baba mwenye busara inapotokea watoto wake wameumizana ni lazima nae aumie siyo tu kimwili bali hata kihisia kuwa ameshindwa kuitunza familia yake vizuri mpaka watoto wakafika hatua ya kuumizana. Kuchukua majukumu ya kibaba ni lazima mzazi mwenye hekima ajilaumu mwenyewe kwa kutoweza kugawanya keki ya familia ktk uwiano sawa hadi ugomvi ukazuka. Kugombana maana ni kushindania kidogo kilichoonekana. Je, inawawezekana kuwa kuna kikubwa kilifichwa kidogo kikagombaniwa mimi na wewe hatujui. Lkn kama wazazi tunapaswa kuwa waadilifu ili hata hicho kidogo kilichopatikana basi kigawanwe ktk misingi ya haki bila mizengwe na hiyo ndiyo itatuweka kwenye safe side. Otherwise leo ni Zitto, Kitila Mkumbo na Mwigamba lkn kesho anaweza kuwa Lema, Mnyika na mtu mwingine. Tujifunze kuwa watu wa kutosheka. Kutosheka haina maana kuwa tutakuwa tayari matajiri la hasha! Tujifunze kwa majirani zetu Zaire ya zamani na Mabutu wao. Tumkumkumke Hayati Baba wa Taifa, pamoja na umasikini aliokuwa nao lkn akawa mtu wa kutosheka. Akafikia wakati anataka kujengewa nyumba na jeshi letu anauliza nyumba hiyo yote mimi ni Tembo? Je, Nyerere hakujua kuwa ana familia kubwa iliyopaswa kurithi mali zake? Hapana alijua yote hayo lakini kwa kuwa alikuwa mtu wa kiasi basi alifanikiwa kujitawala nafsi yake na ndiyo maana linapokuja suala la uadilifu sisi vijana na wazee wa nchi tunapojiangalia tunajiona hatujitoshi kwa Nyerere na Kawawa tukiwataja kwa uchache bila kusahau jembe la kazi Sokoine. Hatupaswi kujilinganisha lkn linapokuja suala la nani atuongoze katika nchi namlinganisha na Sokoine na ndugu yetu mmoja ambaye kila kukicha yuko makanisani na misikitini akitoa misaada kama kwamba alishaambiwa tunataka rais wa misaada au rais wa makanisa au misikiti. Hivi huko makanisani hakuna vyeo vinavyo endana na maeneo hayo? Hivi Mapadri, Maaskofu na Mapapa si vyeo vya makanisa jamani? Kwa nn huyu anayepita huko mara kwa mara asigombee hivyo vyeo huko na misikitini hali kadhalika?Kitila amruka Slaa