Siku moja utajua kuwa kwa Dr Slaa uongo ni sehemu ya maisha yake ya kila siku.Zamani na mie nilikuwa kama wewe,siku moja utakuja kufahamu hili.
kwani alihojiwa na Dr. Slaa au kamati?
Dr. Slaa ni msemaji tu, halafu aliyekiripotiwa zitto kukiri kuufahamu ule waraka ni Samson Mwigamba, siyo Dr. Kitila Mkumbo.
It seems amechanganyikiwa sana.
Kisaikolojia anateseka sana.
Uongo wa Dr Slaa ndiyo unesababisha UMEME upande kwa 78%?
Tuvulana tujinga tunapiga kimaisha lkn bado tu wapo kuisifia CCM!Matatizo haya tuliyo nayo ya watoto wetu kusomea madarasa ya nyasi hajaletwa na Mungu!
Kama habari hizi ni kweli basi Dr.Slaa na Kamati kuu ya Chadema mna matatizo makubwa, na mjipime wenyewe kabla ya mwaka 2015 kama mnafaa kuitwa wanademokrasia na wana maendeleoKitila amruka Slaa
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Dk Kitila Mkumbo amesema kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Wilbrod Slaa kuwa alikiri kwamba Zitto alikuwa akiujua waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013, ni za kutunga.
Juzi, wakati akieleza uamuzi wa kikao cha Kamati Kuu kuwafukuza uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na Dk Kitila, Dk Slaa alisema wakati akihojiwa na Kamati Kuu, Dk Kitila alisema Zitto alikuwa akiujua waraka huo.
Siyo kweli. Hata siku moja sijawahi kukiri kwamba Zitto alikuwa akiufahamu waraka, kilichosemwa na Dk Slaa ni uongo.
Mwigamba afafanua
Mwigamba alisema hakuhojiwa na Kamati Kuu kwa sababu yeye ni Msabato na Siku ya Sabato, hairuhusiwi kufanya jambo lolote zaidi ya kumwomba Mungu. Waliniita Ijumaa (Januari 3) ili nihojiwe lakini mpaka saa 12 jioni sikuwa nimehojiwa na niliwaeleza kuwa jua likizama sitakubali kuhojiwa kwa sababu itakuwa imeanza Siku ya Sabato, alisema.
Alisema kikao cha Kamati Kuu kiliendelea Januari 4, mwaka huu, pia hakuweza kwenda kuhojiwa kwa sababu ilikuwa Sabato, pia alikuwa kanisani, Niliwaambia kuwa nipo tayari kuhojiwa Jumapili, hawakunijulisha kama wameridhia.
1. Hakuna institution itayoendelea kwa kuentertain mawazo yanayofanana tu. Hapa nakubaliana naye
2. Zitto akienda chama kingine will gain momentum and CHADEMA will fall. Anatoa mfano wa mrema miving to TLP from NCCR Mageuzi. Hapa naona kama anaota vile.
NB. He seems to struggle to regain psychological relief.
Kwenye Chai asubuhi hii hapa Utawala UDSM
Dk. Slaa aseme uongo ili iweje? Kitila ni sisimizi tu
Sio kwamba wote wanaomtetea Zitto wako CCM!! Sema tu mmesha karirishwa kwamba mtu akipinga mawazo ya Mbowe na Slaa nyie mnasema anatumika CCM. Sis wengine tunamtetea Zitto b'se hatuoni kosa kubwa la Zitto kupelekea yeye kufukuzwa! Hawa viongoz wetu wa juu CDM wanamgogoro wao tu binafsi; Ilikua ni suala kutatua migogoro ya kwa njia ya mazungumzo, sio kupakaziana uongo na kufukuzana uanachama! Hawa CCM nao kumtetea Zitto ni kutaka kuchochea tu mgogoro ndan ya CDM, japo WANACHADEMA hatulitambui hilo, leo hii wampende Zitto kwa lipi? Tope la ufisad aliloipaka CCM litafutika lini?!! Ndugu wana CDM let us think beyond...!
Ndo tatizo lenu mzinzi munamuona kama malaika, nawewe lazima uwe Shirima au Masawe.
Kitila amruka Slaa