Mutani D. Yangwe
Member
- Dec 20, 2013
- 25
- 15
Dr Slaa anakiwanda cha uongo
Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake
Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo
Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae

Kitilya alikubalije kuhojiwa bila kurekodiwa. Na si yeye alichelewa kuhojiwa kwa kuwa alikwenda kumtafuta mwanasheria. Kama alikuwa na mwanasheria wake kwa nini asimburuze Slaa mahakamani kwa kusema uongo. Kimsingi ile taarifa haikuwa ya Slaa bali ya CDM na CC yake. Angesema tu kuwa taarifa ya CC haikuwa sahihi badala ya kumtaja Slaa moja kwa moja. You can do the math ujue lengo la hii habari lilikuwa ni niniGazeti la Mwananchi.... Siyo kweli. Hata siku moja sijawahi kukiri kwamba Zitto alikuwa akiufahamu waraka, kilichosemwa na Dk Slaa ni uongo.
Dr Slaa anakiwanda cha uongo
Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake
Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo
Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae
Gazeti la Mwananchi.... Siyo kweli. Hata siku moja sijawahi kukiri kwamba Zitto alikuwa akiufahamu waraka, kilichosemwa na Dk Slaa ni uongo.
Dk. Slaa aseme uongo ili iweje? Kitila ni sisimizi tu
una assume kuwa alichokisema kitila ni ukweli kuwa hakusema hayo mimi na wewe hatukuwa pale kwahiyo hatujui kuwa ni kei au si kweli. hicho ndio kinaitwa critical thinking kwamba you have to get all the fact ili kuweza kutoka conclusion
Slaa mbona mwongo mwongo tu
Kwahyo?
Teh teh teh!Muda si mrefu watakaa kimya tu,hawana jinsi!Ningelikuwa ni Zitto, Kitila au Mwigamba mida kama huu ningelikaa kimya tu.
Unamtuhumu kuwa Slaa ni muongo wakati maamuzi yalifanywa na jopo la watu kadhaa na kusomwa na Slaa.
Ina maama maamuzi yale yangelisomwa na Mbowe kama utaratibu unavyohitaji, si ajabu leo hii Kitila angesema Mbowe ni muongo.
Tunaomba namba ta kadi yako na tawi lako na jina la mwenyekiti wa tawi lako ndiyo tuthibitishe kuwa wewe kweli ni mwanachadema, vinginevyo wewe ndiyo tuachie chama chetu.