Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Sijawahi kuwa natumia rushwa kushinda (uchaguzi). Sitoi rushwa, huwa nawawezesha nawa 'facilitate' kabla ya uchaguzi. Mimi ni Mbunge kuna ahadi nilitoa ahadi ya kuwapa sungusungu pikipiki kila Kata. Nilitoa ahadi labda kwa viongozi wa chama kuwapa pikipiki au baiskeli au pikipiki napeleka. Nipo katika kutimiza ahadi zangu"- Dr. Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Tazama Malori yakiwa na Baiskeli za Rais Samia kwa ajili ya kuzigawa kwa wapiga Kura