nyani jike
Senior Member
- Feb 23, 2016
- 176
- 223
Juzi siku ya ijumaa kuu nilimpeleka mtoto hospital kwa Hasanali ni siku nyingine huwa naendaga hapo hapo lakini nilikuwa natafuta pa kupata upenyo Wa kueleza hii kero.
Tunalipishwa bei kubwa sana kama tupo India, Dr huyu ni zaidi ya bepari ananyanyasa wafanyakazi camera kila sehemu nahisi mpaka chooni. Kumuona tu ni sh 70 niliambiwa juzi ukifika kagua daftari zake pale reception kuna wanaopigwa 70, 60, 50, 40, 25, yaani sijui anaangalia sura?
Hiyo pesa ni kumuona tu bado vipimo, dawa. Kweli tutafika mh??????? Najiuliza yaani kama huyu Dr analipa kodi? Maana hizo pesa anazokusanya kwa mafungu anapeleka wapi?? Au ni kutudharau watanzania kwenye nchi yetu na kutaka kutupelekesha wanavyotaka wao.
Sikatai kulipa fee ya kumuona Dr ila wawe specific so kutulipisha kila mtu bei yake na kupandisha bei kisingio kikubwa Mara Leo wknd Mara holiday, that is against a human right kama sikukuu watoto hawaumwi????? Na kwanini apandishe bei sikukuu kama anafanya biashara za nyama n michele????
Tafadhali sana naomba hill suala lifatiliwe na me Niko tayar kutoa ushirikiano. Wahindi wote Wa mtendeni street wenye hospital wachunguzwe ni kwanini hawapokei bima za Afya? Wapo nchi gani watoa hiyo huduma? Maana wanadharau sana serikali ya Tanzania.
Nadhani tuna sheria za huduma ya Afya na policies za Afya I'm sure madaktari wahindi hawafuatiliwi dawa wanauza bei Mara mbili kuwazidi hata phamarcy akina JB n sehemu zingine ukiwauliza kwanini wanakuambia dawa zao ni unique sana Tanzania hakuna kweli????????