Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,914
- 43,504
Wasalaam wana JF;
Sakata la Mapambano baini ya Wabunge na RC Makonda limeendelea kupamba moto baada ya katibu wa bunge Dr Kashilila kusema maazimio hayo ni batili.
Ikumbukwe kwamba Jana bunge chini ya Mh Chenge lilipitisha maazimio ya kuitwa kwa RC Makonda na DC wa Arumeru kujieleza dhidi ya tuhuma za kulikashifu na kulidharau bunge.
Kulingana na Kipindi cha kupaka rangi cha Magic Fm wanasema Dr Kashilila alitoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari kuwa uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazo wakabili viongozi hao ilibidi ufanyike kabla ya kuitwa kwenye kamati hivyo utaratibu hakufatwa na maazimio hayo ni batili.
Hata hivyo Dr.Kashilila hakuweka wazi ikiwa viongozi hao wataweza kuitwa kwenye kamati hiyo ya bunge au lah.....
Wasalaaam...
Source: Magic Fm(Kupaka rangi)

"Maazimio ya bunge kutaka Makonda na Mnyeti kuja bungeni kuhojiwa na kamati ya bunge ya hadhi, madaraka na Maadili ya Bunge, na hata kumtaka Rais John P. Magufuli atengue uteuzi wao hayakufuata utaratibu wa kibunge kwahiyo hayatafanyiwa kazi"
-Dr Thomas Kashilila
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
My takes....
-Chenge (mwanasheria nguli toka Harvard university) ndiye alikuwa akiongoza kikao kilichopitisha maazimio ya kuwaita akina Makonda na Mnyeti,
-Mara zote chenge huwa anaweka taratibu sawa za kisheria bungeni pala mambo yanapokuwa magumu, ila katika sakata la kumwajibisha Makonda, Chenge aliongoza kupindisha taratibu,
- Katika kikao hicho Chenge aliwapa nafasi wabonge wanaopinga na kudhoofisha jitihada za mapambano ya madawa ya kulevya kama wale wa chadema wanaomtetea Mbowe, na Msukuma ila wabunge wale ambao wanaunga mkono mapambano ya madawa ya kulevya kama Mlinga hawakupata nafasi kabsaa..
-Leo Katibu wa Bunge kasema kuwa maazimio yale ya Bunge ni batili (Null and Void)
Mimi nimeelewa yangu,,wewe umeelewa nini???
[HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] akiwa Upande wako ni nani aliyejuu yako??
[HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] bila madawa inawezekana
[HASHTAG]#saynotodrugs[/HASHTAG]