ngudengude
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,175
- 466
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) anaemaliza muda wake Dr. Donald Kaberuka ndie anatajwa kuwa mrithi wa Mhe. Paul Kagame katika uchaguzi ujao.
Dr. Kaberuka ni mtu msomi mwenye PhD(mchumi) ana uzoefu wa kimataifa na kitaifa pia, amesaidia sana kuondoa shida Ebola Afrika Magharibi.
Amka ndugu kumekucha....hii ndoto sasa yatoshaWanyarwanda wanasema kagame bado ni chaguo lao. Watu wako confotabo na raisi wao, nyie mlioko tz hooo, dictator. Acheni tabia za kimarekani, wamarekani wenyewe walitokea wapi, maendeleo ndo yamewafikisha hapo kwenye demokrasia kiasi kwamba anajifanya mwalimu wa kila nchi. Demokrasia gani sasa kapeleka Libia, Iraq, Siria, Kuwait na kote alikopita kaharibu utulivu na utangamano wa watu anachota mafuta na kuuza silaha.
LAZIMA tuanze kuwapinga kwa nguvu zote hawa walioanzisha hii thread inaitwa dictator uchwara. Tusipokaa sawa, Marekani atapandia hapohapo na kutuharibia kama alivyofanya huko kwa waarabu na DR Ciongo.
Well said brotherWanyarwanda wanasema kagame bado ni chaguo lao. Watu wako confotabo na raisi wao, nyie mlioko tz hooo, dictator. Acheni tabia za kimarekani, wamarekani wenyewe walitokea wapi, maendeleo ndo yamewafikisha hapo kwenye demokrasia kiasi kwamba anajifanya mwalimu wa kila nchi. Demokrasia gani sasa kapeleka Libia, Iraq, Siria, Kuwait na kote alikopita kaharibu utulivu na utangamano wa watu anachota mafuta na kuuza silaha.
LAZIMA tuanze kuwapinga kwa nguvu zote hawa walioanzisha hii thread inaitwa dictator uchwara. Tusipokaa sawa, Marekani atapandia hapohapo na kutuharibia kama alivyofanya huko kwa waarabu na DR Ciongo.
Hata akina Nyamwasa et Karegeya walikuwa wenzake,Kagame anamkubali sana huyo jamaa inaonekana maana ni mwenzake.
Hata Col Karegeya na Nyamwasa ni watutsiKama ni mtusi sawa
Kwa Congo, drama yao ni balaa, Papa wemba kazawadiwa kifo, Kofi kawekwa behind bars, nachoka kabisaDr. naona hataki tabu kaamua kujinyamazia yasije kumkuta ya Mmiliki wa TP Mazembe kule Congo DR