Dr. Josephath Gwajima hakukosea kuingia bungeni!

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,646
Reaction score
10,859
Mwaka 2020 niliposikia Dr Gwajima anagombea ubunge, nilifikiri "kapotoka". Ningekuwa jimboni kwake kipindi hicho nisingempa kura yangu!

Lakini sasa nimegundua nilikuwa nimekosea! Alikuwa sahihi sana!

Kama si Gwajima kuingia bungeni, GWAJIMANIZATION ingetoka wapi?

Naomba msamaha kwa MAGWAJIMANIZED wote!
 
Na kasoro zao zote ila kuna kitu father alikuwa anapika.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…