Wew jamaa umenifanya nicheke baada ya kukumbuka lile tumbo la mwakalebelaTuliwaonya sana kuhusu hiyo combination ya Msola na Mwakalebela,hao ni wapigaji tu hela ya Gharib,nyie mnafikiri kulihudumia lile tumbo la Mwakalebela ni mchezo?
Huyo hapo anatishia kujitoaWew jamaa umenifanya nicheke baada ya kukumbuka lile tumbo la mwakalebela
Lijinga sana hili.Huyo hapo anatishia kujitoaView attachment 1717437
.Lijinga sana hili.
Yanga inahujumiwa na Viongozi na Kocha! Usajili wa Fiston unatia aibu! Yule Saido Ntibazonkiza nae ni spana mkononi!! Mpaka leo tunawategemea Sarpong na Nchimbi watuokoe!Dr Tiboroha, ndiye hasa alitakiwa awe mwenyekiti wa Yanga.
Kipindi akiwa katibu mkuu, aliifanya Yanga kuwa timu tishio sana Tanzania.
Angalia scout ya Wachezeji kama Ngoma, Kamsoko, Twite. Ni watu ambao walikuja Yanga wakiwa wanafahamu kazi yao ni kufanya nini.
Yanga ya Msola na Dj Mwakalebela, inapesa za GSM lakin wanaosajiliwa kwa kweli hata sijui wanakuja kufanya nini? Angalia usajili wa Sapong, Fiston, Yakuba. Ambao ni straika hakuna wanacho fanya, tuwape mda ndo umekuwa wimbo.
Fiston ni bora wangelivunja mkataba wa Yusuph Mhilu wa Kagera Sugar ama kumlejesha Molinga. Sasa naona hata katikati wanakata viuno tu, Feitoto timu ikiwa imezidiwa hawezi kupushi. Naona pengo la Juma Abdul kupandisha mashambulizi.
Beki nayo imesahau kuweka marking ya ukabaji wanarundikana eneo moja yaani wanafuata mpira wote. Uongozi wa Yondani pengo lake limeonekana. Yanga tusitafute mchawi eti tunahujumiwa how?
Au marefa wanatuminya siyo kweli, maana tengeneza nafasi nyingi then funga ilikusudi maholi ya kataliwe tione. Scout ya Yanga haipo kabisa, viongozi hakuna wanachofanya wanawaza kula pesa ya GSM.
Usajili wa bado sana, sasa kuna hatari tena ya kutema timu karibu nusu. Kupisha usajili wa magumashi.
Hamna mgomo timu yetu n mbovu tu lilikuwa n suala la muda tu timu yetu kufungwa angalia mechi ya kujipima na African sport timu ilivyocheza eti tukajipa matumain kuwa ile n mechi ya kujipima tu tukaenda mbeya angalia rythm ya timu ilionesha Kuna shida sehemuYanga inahujumiwa na Viongozi na Kocha! Usajili wa Fiston unatia aibu! Yule Saido Ntibazonkiza nae ni spana mkononi!! Mpaka leo tunawategemea Sarpong na Nchimbi watuokoe!
Timu haina kabisa morali!! Sijui kuna mgomo baridi unaendelea ndani kwa ndani!! Naona dalili za ubingwa zinaanza kuyeyuka baada ya sare mfululizo na kipigo kutoka kwa hawa vibonde Coastal Union a.k.a Simba B.
Suala la kuwa kuna kamgomo fulani siyo siri tena wachezaji wazawa hawana morali kabisaaaaa hebu ona huyo dogo anavyofanya masihara. Msola na Mwakalebela watawagharimu sana,wanamkatisha tamaa mwekezaji kwani hawana mchango wowote kwa Club zaidi ya kutoa matamko ya kuwachochea washabiki kuwa TFF, Simba na marefa wanaihujumu Yanga.Yanga inahujumiwa na Viongozi na Kocha! Usajili wa Fiston unatia aibu! Yule Saido Ntibazonkiza nae ni spana mkononi!! Mpaka leo tunawategemea Sarpong na Nchimbi watuokoe!
Timu haina kabisa morali!! Sijui kuna mgomo baridi unaendelea ndani kwa ndani!! Naona dalili za ubingwa zinaanza kuyeyuka baada ya sare mfululizo na kipigo kutoka kwa hawa vibonde Coastal Union a.k.a Simba B.